Yani mtu uko freemason, halafu unaendesha Passo?

Kuna uongo na upotofu mwingi sana unafanywa kwa makusudi juu ya freemason hasa katika kutoa kafara za damu za watu kama ulivyoandika!
Elimu inahitajika kwa kiwango kikubwa sana kuhusu freemason, na hii dhana ya kuwa wanatoa kafara itaisha tu dunia itakapokuwa chini ya serikali moja!
Wengi hawajui chochote kuhusu freemason, wengi ni porojo za kuambiwa mtaani huko tu!
Na kwa nini dunia iwe chini ya serikali moja?!
 
Serikali moja, dini moja, jeshi moja, mahakama moja ili iweje? New world order au ulimwengu mpya ndio suluhisho lenu kwa wanadamu?
 
Juzi kati nkipita mitaa ya posta, huku dar, maeneo karibu na benki kuu nikaona jengo jeupe limeandikwa freemasons hall, nkajisemea akilini, mitandaoni watu wanasema Freemason wanaabudu shetani na ukijiunga huko unapata utajiri, dooh nikaangalia vizuri ndani ya fensi ya ile jengo nkaona Passo, statlet, escudo na magari yanayofanana na hayo yamepaki nje..nkasema wenye haya magari lazma watakua ni member wa freemason coz wamepaki ndani ya fens ya jengo

Nkaona huu upumbavu, bora ukope au u-hustle mwenyewe ununue paso, sasa unamwabudu shetani, unatoa kafara za damu ya watu, hlf unaendesha Passo, Sasa si bora uwe raia wa kawaida
Huo muda ulioenda haukuwa muda wa ibada
 
Ukitoa damu ya ndugu yako na wewe watoto zako wakikua lazima wakutoe roho.
huo ndio ushetani wenyewe.
ni bora upate hela ya kula kuliko kuwafuata hao mashetani.
watawai kukua mkuu hao watoto sasa kafara halirudi nyuma ni mbele kwa mbele apo ukimaliza ndugu unakuja kwa wazaz watot hadi mke baadae ndo unakua chalii hoi na majuto juu.
 
Juzi kati nkipita mitaa ya posta, huku dar, maeneo karibu na benki kuu nikaona jengo jeupe limeandikwa freemasons hall, nkajisemea akilini, mitandaoni watu wanasema Freemason wanaabudu shetani na ukijiunga huko unapata utajiri, dooh nikaangalia vizuri ndani ya fensi ya ile jengo nkaona Passo, statlet, escudo na magari yanayofanana na hayo yamepaki nje..nkasema wenye haya magari lazma watakua ni member wa freemason coz wamepaki ndani ya fens ya jengo

Nkaona huu upumbavu, bora ukope au u-hustle mwenyewe ununue paso, sasa unamwabudu shetani, unatoa kafara za damu ya watu, hlf unaendesha Passo, Sasa si bora uwe raia wa kawaida
Huwa watu wanaomba ku park gari mle ndani mkuu hata wewe ukiongea na mlinzi wa pale una paki
 
Na kwa nini dunia iwe chini ya serikali moja?!

Tunaye Mungu mmoja tu ambaye yeye ndiye asili ya kila kitu ulimwenguni! Hivyo dunia haina budi kuwa chini ya himaya ya huyo Mungu mmoja/serikali moja!
 
Serikali moja, dini moja, jeshi moja, mahakama moja ili iweje? New world order au ulimwengu mpya ndio suluhisho lenu kwa wanadamu?

Hayo yote, dini moja, jeshi moja na umoja kwenye kila kitu vilikuwepo tokea enzi! Tamaa na uhaini wa binadamu ukasababisha mafarakano ambayo yalileta mgawanyiko!
Hivyo chini ya NWO ni matarajio ya kwamba umoja uliokuwepo hapo kabla utarejea na dunia itakuwa chini ya himaya moja!
 
Tumeliwa Sana Ndugu Zangu
Bwana Bure Hayupo
Tuchape Kazi Tukimtanguliza Mungu Mbele
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] - legacy ya mwendazake
 
Back
Top Bottom