Yani mtu uko freemason, halafu unaendesha Passo?

Na kwa nini dunia iwe chini ya serikali moja?!
 

Serikali moja, dini moja, jeshi moja, mahakama moja ili iweje? New world order au ulimwengu mpya ndio suluhisho lenu kwa wanadamu?
 
Huo muda ulioenda haukuwa muda wa ibada
 
Ukitoa damu ya ndugu yako na wewe watoto zako wakikua lazima wakutoe roho.
huo ndio ushetani wenyewe.
ni bora upate hela ya kula kuliko kuwafuata hao mashetani.
watawai kukua mkuu hao watoto sasa kafara halirudi nyuma ni mbele kwa mbele apo ukimaliza ndugu unakuja kwa wazaz watot hadi mke baadae ndo unakua chalii hoi na majuto juu.
 
Huwa watu wanaomba ku park gari mle ndani mkuu hata wewe ukiongea na mlinzi wa pale una paki
 
Na kwa nini dunia iwe chini ya serikali moja?!

Tunaye Mungu mmoja tu ambaye yeye ndiye asili ya kila kitu ulimwenguni! Hivyo dunia haina budi kuwa chini ya himaya ya huyo Mungu mmoja/serikali moja!
 
Serikali moja, dini moja, jeshi moja, mahakama moja ili iweje? New world order au ulimwengu mpya ndio suluhisho lenu kwa wanadamu?

Hayo yote, dini moja, jeshi moja na umoja kwenye kila kitu vilikuwepo tokea enzi! Tamaa na uhaini wa binadamu ukasababisha mafarakano ambayo yalileta mgawanyiko!
Hivyo chini ya NWO ni matarajio ya kwamba umoja uliokuwepo hapo kabla utarejea na dunia itakuwa chini ya himaya moja!
 
Tumeliwa Sana Ndugu Zangu
Bwana Bure Hayupo
Tuchape Kazi Tukimtanguliza Mungu Mbele
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] - legacy ya mwendazake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…