Mkuu kamwe usipagawe na maisha ya mitandaoni.Dah Ndaro mchekeshaji maarufu Tanzania hasa kwenye mitandao ya kijamii kavuta ndinga kali Audi Q 6 yenye thamani ya shiingi million karibia 60.
Na hii ni ndinga yake ya pili.
Watu bongo wanapiga hela ndefu hata kuliko sisi wabeba box.
Million 60 siyo mchezo kibongobongo kwa gari tu.
Hii imenifanya na mimi ni waze kuanzisha channel yangu social media na kufanya vitu vya kipuz kupata likes.
Mfano natoka nje najirekodi kwenye barafu/theluji nimevaa chupi (siyo boxers) ama pampers nikijigaragaza ama kukata mauno ya hatariii.
Na uhakika hapo napata views billions.
Kumbuka Facebook views Million 1 unalipwa usd 1000 sasa ukiwa na views billion unakunja usd 1 million.
Channel yangu nitaiita Maprososo the witch. Naombeni mnishike mkono na kuniungisha nikianzisha kwa kuni follow kushare na kulike.
adriz de mbusii
Kama unabeba box na bado unababaishwa na garivya $22,000 rudi Bongo uwe hata winga Kariakoo. Qengeh!Dah Ndaro mchekeshaji maarufu Tanzania hasa kwenye mitandao ya kijamii kavuta ndinga kali Audi Q 6 yenye thamani ya shiingi million karibia 60.
Na hii ni ndinga yake ya pili.
Watu bongo wanapiga hela ndefu hata kuliko sisi wabeba box.
Million 60 siyo mchezo kibongobongo kwa gari tu.
Hii imenifanya na mimi ni waze kuanzisha channel yangu social media na kufanya vitu vya kipuz kupata likes.
Mfano natoka nje najirekodi kwenye barafu/theluji nimevaa chupi (siyo boxers) ama pampers nikijigaragaza ama kukata mauno ya hatariii.
Na uhakika hapo napata views billions.
Kumbuka Facebook views Million 1 unalipwa usd 1000 sasa ukiwa na views billion unakunja usd 1 million.
Channel yangu nitaiita Maprososo the witch. Naombeni mnishike mkono na kuniungisha nikianzisha kwa kuni follow kushare na kulike.
adriz de mbusii
Dah! Nimecheka sana...Nakushaur endelea kubeba box kulinda donat
Mchana nzi,usiku mbu wanapikezana hakuna kupumzika! Ila Afrika kuna maisha ya hovyo sana lakini qengeh wasiojua maisha mengine wanaona sawa tu.Hahahahahaaaaa GT nilishakuambia bora njaa na baridi. Kuliko njaa na joto na kung'atwa na mbu juu.
Wala hayuko serious anapenda tu kuvuruga watu humu JF.Wewe haupo kwenye ubebaji box..
Marekani na Ulaya gari za zero km wanauza kwa bei chee sana, sababu huko gari is not a luxury thing kama huku na hakuna kodi za ajabu ajabu kama huku.
Hiyo audi ya ndaro ya 60M huko Marekani ungeipata hata kwa 10M tu kwa sababu ni used.
Kufagia choo cha stendi nachingwea, naifanyaje kwa ukubwa wake inilipe?Kila kazi unayo ifanya, Ukiifanya kwa Ukubwa wake, Itakulipa Vizuri.
Chagua kazi unayo ipenda, Fanya kwa ukubwa wake.
Nimefanya kazi ninayoipenda kwa miezi 6 sasa sijapata hata miaπ€£π€£ππKila kazi unayo ifanya, Ukiifanya kwa Ukubwa wake, Itakulipa Vizuri.
Chagua kazi unayo ipenda, Fanya kwa ukubwa wake.
πππKufagia choo cha stendi nachingwea, naifanyaje kwa ukubwa wake inilipe?
Hii content creation haiwezi kuja kuanguka mana imekua ya wengiVijana wa sub sahara wanaibukia kwenye content creation mkuu, hakuna namna.
Nawaza mbona hawafungui onlyfans kuna shida gani?
nasubir jibu π€£π€£π€£Kufagia choo cha stendi nachingwea, naifanyaje kwa ukubwa wake inilipe?
Nasubiri pia kwa sbabu natunza funguo za choo cha stendi na kufanya usafi , nataka nipate mbinu za kufanya inilipe zaidinasubir jibu π€£π€£π€£