Yani Ndaro ametushinda sisi wabeba box? Nimeamua na mimi kuanzisha channel yangu

Yani Ndaro ametushinda sisi wabeba box? Nimeamua na mimi kuanzisha channel yangu

Wewe jamaa unabeba box wapi huko si urudi tu huko Mwakaleli kama unashangaa Audi je ukikutana na muhuni katundika hii ngoma Tandika si utalia kabisa..
20260128_123746.jpg
20260128_123912.jpg
20260128_123759.jpg
 
Wewe haupo kwenye ubebaji box..

Marekani na Ulaya gari za zero km wanauza kwa bei chee sana, sababu huko gari is not a luxury thing kama huku na hakuna kodi za ajabu ajabu kama huku.

Hiyo audi ya ndaro ya 60M huko Marekani ungeipata hata kwa 10M tu kwa sababu ni used.
Labda yupo Liberia
 
Kama kwa mwezi ukipata views laki nane unaweza kupata mpaka dola elfu 5.

Kwanini vijana wasichangamkie fursa??
 
Kama unabeba box na bado unababaishwa na garivya $22,000 rudi Bongo uwe hata winga Kariakoo. Qengeh!
Kweli kabisa kwa Q6 e-tron ni walinzi wazuri£71,000 toleo jipya kama 210m likiwa UK mpaka kufika bongo ni Mara mbili yake

Kama ni brand new lakini 😂
 
Ishakua proffesional sahv
Vijana watoto hamtaki kwenda kulima,kuwa madokta,mainjinia nk
Wote mnatak kuwa macontent creator au wasanii 😄

Ova
 
Tenga vyumba viwili kati ya ulivyonavyo kimoja unakua unauzia bangi kingine unakitoa kwa short time watu wakitaka kubanduana
Kijana wa arsenal 😁 unajua mimi ni manjesta damu kweli?
 
Ila huwa nikisoma habari ya views na hela mnazowakadiria watu huwa nabaki nacheka !
Mwingine hapo kaandika views laki 8 unapata dola elf 5 😆. Yaan hizi hizi reels za facebook zikupe hizo hela!?
 
Back
Top Bottom