Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
DONAT!!π€πππMwenzio mke wa mtu na wewe unataka kuwa mke wa mtu? Nakushaur endelea kubeba box kulinda donat
Labda yupo LiberiaWewe haupo kwenye ubebaji box..
Marekani na Ulaya gari za zero km wanauza kwa bei chee sana, sababu huko gari is not a luxury thing kama huku na hakuna kodi za ajabu ajabu kama huku.
Hiyo audi ya ndaro ya 60M huko Marekani ungeipata hata kwa 10M tu kwa sababu ni used.
Marekani na ulaya gari ni kama hali ya umiliki wa smartphone wa sasa kwa huku nchi zetu.Labda yupo Liberia
ππππππMwenzio mke wa mtu na wewe unataka kuwa mke wa mtu? Nakushaur endelea kubeba box kulinda donat
ππππππKama unabeba box na bado unababaishwa na garivya $22,000 rudi Bongo uwe hata winga Kariakoo. Qengeh!
Kweli kabisa kwa Q6 e-tron ni walinzi wazuriΒ£71,000 toleo jipya kama 210m likiwa UK mpaka kufika bongo ni Mara mbili yakeKama unabeba box na bado unababaishwa na garivya $22,000 rudi Bongo uwe hata winga Kariakoo. Qengeh!
Tenga vyumba viwili kati ya ulivyonavyo kimoja unakua unauzia bangi kingine unakitoa kwa short time watu wakitaka kubanduanaNasubiri pia kwa sbabu natunza funguo za choo cha stendi na kufanya usafi , nataka nipate mbinu za kufanya inilipe zaidi
Kijana wa arsenal π unajua mimi ni manjesta damu kweli?Tenga vyumba viwili kati ya ulivyonavyo kimoja unakua unauzia bangi kingine unakitoa kwa short time watu wakitaka kubanduana
πNimefanya kazi ninayoipenda kwa miezi 6 sasa sijapata hata miaπ€£π€£ππ
π€£π€£ Here you'reTenga vyumba viwili kati ya ulivyonavyo kimoja unakua unauzia bangi kingine unakitoa kwa short time watu wakitaka kubanduana
Sio kweli bwasheeπ€£π€£ Here you're
π―Kama unabeba box na bado unababaishwa na garivya $22,000 rudi Bongo uwe hata winga Kariakoo. Qengeh!