Yani wamefikia mpaka kwenda kuonga na kutoa lolote ili ya October 29 na yanaendelea waonekane wasafi

Yani wamefikia mpaka kwenda kuonga na kutoa lolote ili ya October 29 na yanaendelea waonekane wasafi

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kitu kinacho nichekesha katoa mamilioni ya pesa kama kauli yake pale bungeni kuwa .Yupo kwa lolote kulipa wanacho taka waje Tanzania wajionee kuwa nchi tulivu

Ila kuna chinja chinja inakuja sasa kuzimisha ili kuonesha dunia Tanzania salama.

Kila kabira na kila tofauti ya imani yake itabebeshwa kuwa wao ndio walioleta kumchukia raisi.

Natoka zangu ofisini .Kesho kuna sinema zinatoka kupunguza kutokubari kuchutama.
 
Kitu kinacho nichekesha katoa mamilioni ya pesa kama kauli yake pale bungeni kuwa .Yupo kwa lolote kulipa wanacho taka waje tanzania wajionee kuwa nchi tulivu

Ila kuna chinja chinja inakuja sasa kuzimisha ili kuonesha dunia tanzania salama.

kila kabira na kila tofauti ya imani yake itabebeshwa kuwa wao ndio walioleta kumchukia raisi.

Natoka zangu ofisini .Kesho kuna sinema zinatoka kupunguza kutokubari kuchutama.
Kabira_Kabila.
Kutokubari_kutokubali.Endelea kutiririka!
 
Back
Top Bottom