Kabira_Kabila.Kitu kinacho nichekesha katoa mamilioni ya pesa kama kauli yake pale bungeni kuwa .Yupo kwa lolote kulipa wanacho taka waje tanzania wajionee kuwa nchi tulivu
Ila kuna chinja chinja inakuja sasa kuzimisha ili kuonesha dunia tanzania salama.
kila kabira na kila tofauti ya imani yake itabebeshwa kuwa wao ndio walioleta kumchukia raisi.
Natoka zangu ofisini .Kesho kuna sinema zinatoka kupunguza kutokubari kuchutama.
Endelea kutiririka acha hayo ya bakita mkuu fbn!,Tupo pamoja.ulitaka code au ulitaka kusubilia kiswahili toka bakita