Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Banters aside, Atohoula Yao ni beki mzuri sana anayeweza kucheza fullbacks zote kwa usahihi ule ule.Kabla ya kusajiliwa kunakuwaga na tetesi so mchakato wa kuanza kutafuta data za mchezaji unaanzia hapo.
Kupiga krosi na deadball