Yao is now green and Yellow

Yao is now green and Yellow

Kabla ya kusajiliwa kunakuwaga na tetesi so mchakato wa kuanza kutafuta data za mchezaji unaanzia hapo.
Banters aside, Atohoula Yao ni beki mzuri sana anayeweza kucheza fullbacks zote kwa usahihi ule ule.

Kupiga krosi na deadball
 
Kwahiyo mchezaji Bora mnampa mwaka umoja duuuu akili ya uto hiyo
Mbona mnapendwa kudanganywa.
Screenshot_20230715_081325_Instagram.jpg
 
Asishindwe tuuu Kama Alivyo Shindwa Morocco, Au Asiwe kama Aziz Ki Mafunguo Mengi Mwisho Wa siku Anakaa Bench.
 
Kwa ambao hamjui beki bora wa kulia hapa kuna stori fupi inayo mhusu

Yao ndio aliyekuwa nyuma ya Sakho akikabia macho mpira ambao ulienda kufunga goli bora la mashindano yote.

What a back?
View attachment 2688333
Kwaiyo unataka kutuambia nini kwa sababu naona kama una kijiba cha moyo. Halafu kumbuka anakuja kukutana na mafundi mafundi wa mpira sako kwani yupo aje afunge tena.
 
Mikataba ya mwaka 1 huwa wanapewa wachezaji wenye umri mkubwa au wenye uwezo mdogo ni nadra sana kukuta kinyume chake.
Usijisahulishe kwani sawa dogo anamiaka mingapi vile. Alipewa mkataba wa miaka mingapi ukoloni na sasa yupo kaondoka. Kumbuka yanga ni timu kisawasawa kawazidi kila kitu nje ntiti ndani ntiti.
 
Back
Top Bottom