Banters aside, Atohoula Yao ni beki mzuri sana anayeweza kucheza fullbacks zote kwa usahihi ule ule.Kabla ya kusajiliwa kunakuwaga na tetesi so mchakato wa kuanza kutafuta data za mchezaji unaanzia hapo.
Mbona mnapendwa kudanganywa.Kwahiyo mchezaji Bora mnampa mwaka umoja duuuu akili ya uto hiyo
Mikataba ya mwaka 1 huwa wanapewa wachezaji wenye umri mkubwa au wenye uwezo mdogo ni nadra sana kukuta kinyume chake.Usajili wowote ni kamari kwahiyo urefu au ufupi wa mkataba zinaweza kuwa factors zinazokamilisha kamari yenyewe
Watu kama hawa wenzetu wenye ngozi nyeupe huwa wanawaita snitch.Boy, Ww kila kitu kinachohusu Yanga huwa unadiss, daah!!
Sasa huyu ndio nadra yenyeweMikataba ya mwaka 1 huwa wanapewa wachezaji wenye umri mkubwa au wenye uwezo mdogo ni nadra sana kukuta kinyume chake.
Toa huu ushubwada wako topolo uliyekomaaTusijidanganye wanasimba
Huyo beki ni mzuri, yuko more aggressive and technical kulinganisha na Djuma au Kapombe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asishindwe tuuu Kama Alivyo Shindwa Morocco, Au Asiwe kama Aziz Ki Mafunguo Mengi Mwisho Wa siku Anakaa Bench.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asishindwe tuuu Kama Alivyo Shindwa Morocco, Au Asiwe kama Aziz Ki Mafunguo Mengi Mwisho Wa siku Anakaa Bench.
WatakomaKwa ambao hamjui beki bora wa kulia hapa kuna stori fupi inayo mhusu
Yao ndio aliyekuwa nyuma ya Sakho akikabia macho mpira ambao ulienda kufunga goli bora la mashindano yote.
What a back?
View attachment 2688333
Kwaiyo unataka kutuambia nini kwa sababu naona kama una kijiba cha moyo. Halafu kumbuka anakuja kukutana na mafundi mafundi wa mpira sako kwani yupo aje afunge tena.Kwa ambao hamjui beki bora wa kulia hapa kuna stori fupi inayo mhusu
Yao ndio aliyekuwa nyuma ya Sakho akikabia macho mpira ambao ulienda kufunga goli bora la mashindano yote.
What a back?
View attachment 2688333
Usijisahulishe kwani sawa dogo anamiaka mingapi vile. Alipewa mkataba wa miaka mingapi ukoloni na sasa yupo kaondoka. Kumbuka yanga ni timu kisawasawa kawazidi kila kitu nje ntiti ndani ntiti.Mikataba ya mwaka 1 huwa wanapewa wachezaji wenye umri mkubwa au wenye uwezo mdogo ni nadra sana kukuta kinyume chake.
Vipi Bado unayo hamu na hii comment yako ya kimbumbumbu..Nimekupata mkuu.Kweli wewe ni Scars.Kumbe mtani kasajili garasa lililompa Sakho goli bora.Sikujua!!!
Siku hazigandi!
Una kituTusijidanganye wanasimba
Huyo beki ni mzuri, yuko more aggressive and technical kulinganisha na Djuma au Kapombe.
Ulikuwa unasema..?Asishindwe tuuu Kama Alivyo Shindwa Morocco, Au Asiwe kama Aziz Ki Mafunguo Mengi Mwisho Wa siku Anakaa Bench.