Yao is now green and Yellow

Yao is now green and Yellow

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
1689369898207.png

A SON OF ANYAMA ATTOULAJ YAO IS GREEN AND YELLOW ||

Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa beki wa kulia Kouassi Attohoula Yao kutoka Asec kwa Mkataba wa mwaka mmoja.

Yao ni moja ya Ma Full back bora kabisa barani Afrika kwa Wachezaji wanaocheza soka ndani ya bara la Africa kwa sasa, SolBen Academy ya Asec Mimosas ndiyo iliyomkuza.

Aliwahi kwenda Morocco lakini mambo hayakwenda Vema akarejea Asec Mimosas na baadae kuwa na mchango mkubwa kikosini hapo hata kufika nusu fainali ya Shirikisho Africa Msimu jana.

Ameungana na Aubin Kramo Kouame na Stephanie Azizi KI ambao walicheza Asec Msimu Juzi Kwa pamoja wakifika hatua ya makundi ya Shirikisho Africa.

Attoula Yao Kousi, Anatokea Eneo liitwalo Anyama katika Jiji la Abidjan, Eneo Hilo Star mkubwa zaidi ni Gervinho.
 
Kwa ambao hamjui beki bora wa kulia hapa kuna stori fupi inayo mhusu

Yao ndio aliyekuwa nyuma ya Sakho akikabia macho mpira ambao ulienda kufunga goli bora la mashindano yote linafungwa.

What a back?
View attachment 2688333
Hahahaha,Hivi nyie hizi taarifa za haraka haraka mnatoaga hapi.Yani fasta tu ushajua kuwa alikuwa nyuma ya Sakho kwenye goli bora la Caf.Much salute to you Braza.
 
Kwa ambao hamjui beki bora wa kulia hapa kuna stori fupi inayo mhusu

Yao ndio aliyekuwa nyuma ya Sakho akikabia macho mpira ambao ulienda kufunga goli bora la mashindano yote linafungwa.

What a back?
View attachment 2688333
Tusijidanganye wanasimba
Huyo beki ni mzuri, yuko more aggressive and technical kulinganisha na Djuma au Kapombe.
 
Angekuwa bora asingepewa mkataba wa mwaka 1, hapo inaonesha Yanga Fc haimuamini.
Mkataba una mambo mengi uwezi kujua vipengele vya kimkataba kati yake na waajiri wake vimekaaje, pengine kuna option ya kuongeza au pengine anaangalia mbele zaidi ya hapa baada ya mwaka mmoja uwezi kujua, kuhusu ubora amethibitisha labda kama ujamfatilia mechi alizocheza utapata jibu!
 
A SON OF ANYAMA ATTOULAJ YAO IS GREEN AND YELLOW ||

Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa beki wa kulia Kouassi Attohoula Yao kutoka Asec kwa Mkataba wa mwaka mmoja.

Yao ni moja ya Ma Full back bora kabisa barani Afrika kwa Wachezaji wanaocheza soka ndani ya bara la Africa kwa sasa, SolBen Academy ya Asec Mimosas ndiyo iliyomkuza.

Aliwahi kwenda Morocco lakini mambo hayakwenda Vema akarejea Asec Mimosas na baadae kuwa na mchango mkubwa kikosini hapo hata kufika nusu fainali ya Shirikisho Africa Msimu jana.

Ameungana na Aubin Kramo Kouame na Stephanie Azizi KI ambao walicheza Asec Msimu Juzi Kwa pamoja wakifika hatua ya makundi ya Shirikisho Africa.

Attoula Yao Kousi, Anatokea Eneo liitwalo Anyama katika Jiji la Abidjan, Eneo Hilo Star mkubwa zaidi ni Gervinho.
Kwahiyo mchezaji Bora mnampa mwaka umoja duuuu akili ya uto hiyo
 
Mkataba una mambo mengi uwezi kujua vipengele vya kimkataba kati yake na waajiri wake vimekaaje, pengine kuna option ya kuongeza au pengine anaangalia mbele zaidi ya hapa baada ya mwaka mmoja uwezi kujua, kuhusu ubora amethibitisha labda kama ujamfatilia mechi alizocheza utapata jibu!
Kwahiyo ndan ya miezi sita mchezaji anaweza ongea na klabu nyingine ???? Unasoma upo SAWA hapo??
 
Back
Top Bottom