Yao is now green and Yellow

Yao is now green and Yellow


A SON OF ANYAMA ATTOULAJ YAO IS GREEN AND YELLOW ||

Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa beki wa kulia Kouassi Attohoula Yao kutoka Asec kwa Mkataba wa mwaka mmoja.

Yao ni moja ya Ma Full back bora kabisa barani Afrika kwa Wachezaji wanaocheza soka ndani ya bara la Africa kwa sasa, SolBen Academy ya Asec Mimosas ndiyo iliyomkuza.

Aliwahi kwenda Morocco lakini mambo hayakwenda Vema akarejea Asec Mimosas na baadae kuwa na mchango mkubwa kikosini hapo hata kufika nusu fainali ya Shirikisho Africa Msimu jana.

Ameungana na Aubin Kramo Kouame na Stephanie Azizi KI ambao walicheza Asec Msimu Juzi Kwa pamoja wakifika hatua ya makundi ya Shirikisho Africa.

Attoula Yao Kousi, Anatokea Eneo liitwalo Anyama katika Jiji la Abidjan, Eneo Hilo Star mkubwa zaidi ni Gervinho.
Vitu vya Maana sana hiilvi
 
Back
Top Bottom