Yapi Katika Haya si Kweli? Mhadhiri Kijana Anamuuliza Mkuu wa Idara ya Historia

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
Kijana mhadhiri wa historia katika moja ya vyuo vikuu kanifahamisha upinzani dhidi yake jinsi anavyosomesha historia.

Nimemwandikia hayo hapo chini:

WAASISI WA AFRICAN ASSOCIATION 1929 NA AL JAMIATUL ISLAMIYYA FI TANGANYIKA 1933
African Association imeanzishwa na Cecil Matola (President), Kleist Sykes (Secretary), Mzee bin Sudi, Ibrahim Hamisi, Ali Said Mpima, Zibe Kidasi, Suleiman Majisu, Rawson Watts na Raikes Kusi mwaka wa 1929.

Viongozi hawa waasisi wa African Association watoe hao Wakristo watatu: Cecil Matola, Rawson Watts na Raikes Kusi wakaunda Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) mwaka wa 1933.

Ikawa sasa Waingereza wanapambana na vyama viwili yaani African Association na Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika.

Hii ndiyo sababu unaona historia ya TANU ikawa hivi ninavyoihadithia pale ilipokuja kuundwa mwaka wa 1954.

HOFU YA KUANDIKA NA KUHIFADHI HISTORIA YA AFRICAN ASSOCIATION NA TANU
Historia hii baada ya uhuru kupatikana mwaka wa 1961 ikawa mfano wa jinamizi inawatisha baadhi ya watu.

Wakawa kwanza wanaogopa kutaja majina ya waasisi wa African Association hao ambao majina yao yapo hapo juu na pili wakawa na hofu pia hata ya kuhadithia historia yenyewe ilivyokuwa.

TANU ILIUNDWA VIPI?
Historia ya kuundwa kwa TANU mwaka wa 1954 imetanguliwa na simulizi nyingi za kusisimua hasa kuanzia mwaka wa 1950 baada ya kuundwa kwa TAA Political Subcommittee ambayo wajumbe wake walikuwa Dr. Vedasto Kyaruzi (President), Abdulwahid Sykes (Secretary), Mufti Sheikh Hassan bin Ameir, Hamza Mwapachu, Sheikh Said Chaurembo, Steven Mhando na John Rupia.

Kamati hii ina historia kubwa sana.

UPI UKWELI WA HISTORIA YA KUASISIWA KWA TANU?
Sababu kubwa inayonifanya mimi kuwa mbele kupita wenzangu katika kuijua historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika ni kuwa kwanza ni uhusiano wangu na wazalendo walioshiriki katika vuguvugu hili la siasa.

Wenzangu wao waliamini kuwa kabla ya Nyerere hapakuwa na harakati zozote dhidi ya ukoloni.

Wenzangu hawa waliamini siasa zilianza na Julius Nyerere mwaka wa 1953 alipochaguliwa kuwa President wa TAA.

Bahati mbaya sana Nyerere mwenyewe katika hotuba yake ya kuaga Diamond Jubilee Hall mwaka wa 1985 hakueleza vipi alichaguliwa na baya zaidi aliwaaminisha wasikilizaji wake kuwa yeye aliikuta TAA katika usingizi na yeye ndiye aliyeiamsha kutoka usingizini.

Hii si kweli.

MAPINDUZI NA UONGOZI WA VIJANA TAA 1950
Ukiisikia historia ya Schneider Abdillah Plantan nini alifanya kuwaingiza vijana katika uongozi wa TAA 1950 na kuutoa madarakani uongozi wa wazee utashangaa.

Vijana walioingizwa katika uongozi ni Dr. Vedasto Kyaruzi (President) na Abdulwahid Sykes (Secretary).

Wazee waliotolewa madarakani ni Thomas Saudtz Plantan (President) na Clement Mohamed Mtamila (Secretary).

Moto huu wa 1950 haukuzimika na ndiyo uliomtia Nyerere katika uongozi wa TAA katika uchaguzi wa mwaka 1953 alipogombea nafasi ya urais na Abdul Sykes.

Schneider Plantan ni mtoto wa Affande Plantan Mzulu kutoka Imhambane, Mozambique aliyekuja Deutsch Ostafrika na Hermann von Wissmann akiwa kiongozi wa jeshi la askari mamluki 400 wa Kizulu kutoka kijiji cha Kwa Likunyi walioletwa kuja kupigana na Abushiri bin Salim Al Harith wa Pangani.

Watoto watatu wa Affande Plantan ambae kwao alijulikana kama Chief Mohosh Shangaan wana historia yao katika historia ya uhuru wa Tanganyika.

Watoto hawa ni Thomas Plantan, Schneider Plantan na Ramadhani Mashado Plantan.

Mimi nikiijua historia hii na kumsikia Nyerere anasema TAA iliamshwa na yeye...

Kuna mtu muhimu sana katika historia hii ya Nyerere kùwa kiongozi wa TAA na kisha TANU.

Mtu huyu ni Hamza Mwapachu Mdigo kutoka Tanga na muhitimu wa Makerere College na University of Wales.

Mwapachu ndiye aliyeweka shinikizo kuwa Nyerere ndiye anaefaa kuwa kiongozi wa TAA 1953 na 1954 TANU iundwe aongoze harakati za kudai uhuru.

Hizi si dalili kuwa TAA ilikuwa usingizini.

Yote haya yamo katika kitabu cha Abdul Sykes.

HITIMISHO
Nilibahatika kuzungumza, kusoma nyaraka na vitabu vinavyoeleza maisha ya siasa za waasisi hawa wa TANU waliokuwa New Street Dar-es-Salaam na wengine majimboni: Abdul na Ally Sykes, Dossa Aziz, Tewa Said Tewa, Saadan Abdu Kandoro, Germano Pacha, Joseph Kimalando, Julius Nyerere na Japhet Kirilo.

Majina haya yote na yale waliyofanya kama mchango wao katika kupigania uhuru wa Tanganyika yamo katika Nyaraka za Sykes.

Hawa wanachama 9 ni katika waasisi 17 waliounda chama cha TANU tarehe 7 Julai 1954.
 
Kuna jambo huwa linanitatiza kuhusu huu mjadala ambao waislamu wengi wa Tanganyika huwa wanapenda kulilalamikia kuhusu uhuru wa Tanganyika.

Mosi, Tanganyika baada ya vita ya kwanza ya dunia haikuwa moja (A unified political entity) kama ambavyo iko leo hii. Tanganyika ilitoka kuwa koloni la Ujerumani lililohusisha maeneo mengi ya Afrika-Mashariki na kuwa koloni la kidhamini (A Mandate Territory) ambalo alipewa Muingereza kusimamia.

Pili, Tanganyika halikuwa kuwa taifa kabla ya 1961, hivyo watu kutoka maeneo na kanda tofauti walikuwa wanaishi kivyao chini ya usimamizi wa Muingereza. Mwaka 1926, kulikuwa hakuna mtu anayeitwa mtanganyika kwasababu makoloni yalikuwa hayana dhana nzima ya URAIA (Concept of Civilian).

Watu walitambuliwa kwamba wanatokea Tanganyika lakini walitambulika kwa makabila yao na maeneo yao waliyotokea yaliyotawaliwa na machifu. Mfano, mtanganyika anayetokea Kyela na mtanganyika anayetokea Machame walikuwa ni watu wawili tofauti wasiojichukulia kama watanganyika kwasababu hiyo dhana haikuwepo.

Tatu, Tanganyika haikuwa na maendeleo sawa sehemu zote (Uniform Development). Kuna maeneo yalikuwa tayari yemeshaendelea na kujitawala kipeke yao. Mfano, Kilimanjaro, kufika miaka 1950's alikuwa ameshaunganisha maeneo (Chief-Doms) za kichagga ambazo zilikuwa zinajitawala. Mwaka 1952 Muingereza akaunganisha Chiefdoms 300 za Kinyakyusa ili zijitawale.

Nne, kusema kwamba Waislamu ndiyo walikuwa wa kwanza kudai uhuru wa Tanganyika na kuwataja kina Cecil Matola na Kleist Sykes kwamba ndiyo wapigania uhuru wa kwanza, siyo sahihi kimantiki na kihistoria. Nasema hivi kwasababu maeneo mbalimbali ya Tanganyika yalikuwa yanajitawala chini ya Muingereza kupitia INDIRECT RULE, hivyo yalianza kudai uhuru kwa njia zao yenyewe.

Wachagga walikuwa na harakati zao za kuwa huru, Wamassai walikuwa na harakati zao za kuwa huru, Mikoa ya kusini walikuwa na harakati zao za kuwa huru hata kabla ya Muingereza kufika Tanganyika. Kina Chief Marealle, Chief Edward wa Umassai, walidai uhuru kwa maeneo yao tu. Hivyo kusema kwamba mwaka 1926 kulikuwa na A NATION-WIDE INDEPENDENCE MOVEMENT siyo kweli kabisa.

Tano, harakati nzima za kuanza kudai uhuru kama Tanganyika moja lilianza kuwa na nguvu miaka ya 40's na 50's baada ya vita vya pili vya dunia kuisha na UMOJA WA MATAIFA kuunda na kutengeneza TRUSTEESHIP SYSTEM ambayo iliungwa mkono na USSR na USA. Wasomi wengi na wapiganaji wa vita vya dunia wa kiafrika na Asia walianzisha varangati la kudai uhuru kwenye maeneo yao.

Sita, Nyerere tunampa maua yake kwasababu bila yeye Tanganyika isingepata uhuru kama taifa moja. Mkoloni alikuwa tayarib kuyapa uhuru baadhi ya maeneo yalioonekana yameendelea na kuweza kujisimamia kuliko mengine. TANU chini ya kina Mzee Nyerere na Kambona ndiyo ilisaidia kuleta umoja wa kitaifa kwenye kona zote za Tanganyika.

Saba, dini ni sababu nyingine muhimu ambayo inanifanya nipingane na hoja ya kusema wapigania uhuru wa kwanza wa Tanganyika walikuwa ni wazee wa kiislamu. Hili ni kweli kwa sehemu. Dini ilikuwa ni kati ya nyenzo muhimu mno iliyotumiwa na mkoloni kutawala Tanganyika.

Lakini madhehebu ya kikistro yaligawana maeneo. Ndiyo maana ukienda maeneo kama Kilimanjaro utakuta kuna sehemu wachagga ni Protestanti, sehemu nyingine ni Wakatoliki. Ukienda Mbeya utakuta sehemu ni Walutheri na Wamoravian. Watu wa haya maeneo walikuwa hata kuingiliana ni jambo gumu mno.

Dini za Kikristo zilikataa kabisa waislamu. Hata kwenye taasisi zao za kielimu waliwalazimisha waislamu wabadili kwanza dini ndiyo wasome. Ukifuatilia kiundani utafahamu hata kudai uhuru, madhehebu ya Kikristo yalihusika sana na kupeleka watu wao kama Marealle, Nyerere, Kidaha, Edward.

Nane, Nyerere ndiye alikuja kuwastua watu wengi ndani Tanganyika kwamba, sisi siyo koloni bali ni TRUSTEESHIP TERRITORY, hivyo twende US na UN kudai watuachie kama UN Charter inavyosema. Baada ya Nyerere kuingia TAA/TANU, ndiyo kwa mara ya kwanza dhana nzima ya UTANGANYIKA na kuwa na taifa moja huru ya watu wa dini na kabila zote ikaanza kupata nafasi na TANU kikawa chama cha uhuru kwa watu wote wanaoiishi Tanganyika.

NB 1: Kudai kwamba TAA kilichuwa ndiyo chama kikubwa cha uhuru Tanganyika ni Fallacy of Generalization ambayo inalazimisha kwamba watanganyika waliwahi kuwa wamoja kabla ya 1926, lakini pia kwamba maeneo ya Tanganyika watu walikuwa wamelala tu wakisubiri kuletewa uhuru na kina Cecil Matola na Kleist Sykes, jambo ambalo siyo kweli hata kidogo.

NB 2: Tanganyika hata baada ya 1961 haikuwa moja kama ambavyo wengi tunaamini, CHIEFDOMS zenye nguvu tokea kipindi cha ukoloni zilikuwa nyingi tu. Busara ikawa ni kuzivunja kwasababu zingeleta matatizo kwa umoja wa kitaifa.

Kusema kwamba waislamu na wakristo, au makabila ya Tanganyika yote walikuwa na mawazo sawa na wamoja, au kwamba TAA peke yake ndiyo walikuwa wanafanya harakati za uhuru haviko sawa sana kihistoria.
 
FaizaFoxy unajifunza nini hapa??
Rais wa AA-Cecili Matola
Rais TAA-Dr. Vedasto Kyaruzi
Kiongozi mkuu wa TANU-Julius Nyerere
 
Malcolm,
Angalia video hii naeleza historia ya wazee wangu katika kupigania uhuru wa Tanganyika:

View: https://youtu.be/B3L5tevd33U?si=ZjCipaPdrPwb9qtl
 
Kweli mtupu
 
Ahsante sana kuna mtu humu umemuumbua kweli kweli.
 
Mzee kwa ufupi tueleze sifa za kitaaluma za hao waasisi wa TAA tafadhali
Uzalendo...
Waasisi wa African Association 1929 ni hawa wafuatao: Cecil Matola (Mwalimu), Kleist Sykes (Karani wa Mahesabu Tanganyika Railways na biashara), Ali Said Mpima (Mpima Viwanja Dar es Salaam Municipal Council), Raikes Kusi na Rawson Watts (Waajiriwa serikalini) wengine sijui kazi zao kama Mzee bin Sudi, Suleiman Majisu, Zibe Kidasi na Ibrahim Hamisi.

Katika hawa yuko mmoja alikuwa akifanya kazi Government Press lakini sikumbuki ni yupi.
 
Uzalendo...
Waasisi wa African Association 1929 ni hawa wafuatao: Cecil Matola (Mwalimu), Kleist Sykes (Karani wa Mahesabu Tanganyika Railways na biashara), Ali Said Mpima (Mpima Viwanja Dar es Salaam Municipal Council), Raikes Kusi na Rawson Watts (Waajiriwa serikalini) wengine sijui kazi zao kama Mzee bin Sudi, Suleiman Majisu, Zibe Kidasi na Ibrahim Hamisi.

Katika hawa yuko mmoja alikuwa akifanya kazi Government Press lakini

sikumbuki ni yupi.
TAA kilikuwa ni taasisi ya kudai haki za wafanyakazi waafrika waliokuwa wameajiriwa na wakoloni, baada ya akina nyerere kuingia wakaibadilisha na kuwa chama cha TANU kilichokuwa na agenda ya kudai uhuru, hao wazee wako wa TAA hawakuwahi kudai uhuru
 
Malcolm,
Angalia video hii naeleza historia ya wazee wangu katika kupigania uhuru wa Tanganyika:

View: https://youtu.be/B3L5tevd33U?si=ZjCipaPdrPwb9qtl

Nakuelewa vizuri Sheikh, madai yako yana uhalali mkubwa, japo kuna mambo ambayo inabidi tuwekane sawa kuhusu suala la uhuru wa Tanganyika.

Naomba nieleweshwe vizuri hasa unaposema wazee wako walianza kupigania uhuru wa Tanganyika. Taasisi yao ilikuwa ni ya Uhuru wa Tanganyika nzima kama taifa, ambapo walikuwa wanawakilisha maslahi ya raia wote ndani ya koloni (Mandate/Trusteeship) na kukubalika na jamii zote zilizopo mnamo miaka ya 1926-1945 ???

Hoja unayoijenga hapa ni kwamba wakina Mwapachu, Sykes na Matola walikuwa wanakubalika na kufahamika kule Uchaggani, Unyakyusani, Uhayani, Uheheni, Upareni, Uzungunguni na Uhindini kwamba chama chao ndicho kilikuwa kinasimamia maslahi ya watanganyika wote.

Binafsi nafahamu kwamba kabla ya 1945, dhana nzima ya uhuru wa Tanganyika kama taifa moja haikuwepo. Watu walikuwa wanadai uhuru aidha kwa dhumuni la kulinda maslahi ya wafanyakazi wa kikoloni, au uhuru wa kujiendesha kama jamii fulani (Tribal Autonomy) kwasababu Muingereza alitawala Tanganyika kupitia makabila (Indirect Rule).

Unapolazimisha kuniambia kwamba wazee wangu wa Kihaya, ambao sehemu kubwa walikuwa ni WAKATOLIKI na wana jamii yao inayojiendesha vizuri tu kwa kusheheni wasomi na wakulima wakubwa kawaha ndani ya koloni, walikuwa wanawatambua wazee wako wa kiislamu kwamba ndiyo wapigania uhuru wao.

Hapa waislamu mnalazimisha kutaka kusema kwamba Tanganyika ilikuwa moja kabla ya mwaka 1961 na dhana nzima ya utaifa ilikuwepo jambo ambalo siyo kweli. Watanganyika kabla ya 1961, hatukuwa na dhana nzima ya URAIA (Comprehensive Concept of Citizenship) kama ambavyo tunayo leo hii. Mkoloni aliwagawanya watu kikanda, kikabila na kidini, ndiyo maana kuna maeneo yaliendelea sana kuliko mengine.

Kubwa zaidi, moja ya changamoto iliyokuwa inasumbua uhuru ni kwamba watu wa dini ya KIKRISTO walikuwa hawataki kabisa kuchangamana na waislamu. Unaposema kwamba wazee wako ndiyo vinara wa kupigania uhuru wa Tanganyika ilhali wachagga, wahaya na wanyakyusa walishaanza mapema harakati za kutaka kuwa jamii huru hata kabla ya kina Nyerere na TANU yao unataka tukueleweje sisi ???

UN TRUSTEESHIP SYSTEM, haikulazimisha jamii ndani ya koloni dhamini husika kupata uhuru ndani ya hilo koloni. Iliruhusu hata jamii fulani kujiunga na taifa ambalo tayari lilishapata uhuru au hata kupata uhuru yenyewe endapo itataka. Hili la kulazimisha kwamba wazee wa kiislamu walikuwa wanapigania hadi uhuru wetu sisi WAHAYA mnalitoa wapi ilhali WALANGIRA wetu walikuwa nao wanataka sisi tuwe jamii inayojitegemea ???

Mwisho kabisa, ukisoma historia bila mihemko ya kidini na kikabila, utafahamu kwamba vyama vingi, serikali nyingi na viongozi wengi waliopewa uhuru kwa mataifa ya Afrika walihitaji kuwa na kitu kimoja cha msingi kabisa ili kutambulika na jumuiya ya kimataifa, UHALALI kwa lugha ya kiingereza naita LEGITIMACY.

LEGITIMACY inapatikana pale ambapo sehemu kubwa ya jamii husika inakutambua na kukukubali kwamba wewe unawakilisha maslahi yao. Ukisoma UN CHARTER, Article 87 B, inasema TRUSTEESHIP COUNCIL inaweza kusikiliza madai ya kundi au watu binafsi kutoka kwenye koloni dhamini.

Ukisoma hapa utaona kabisa kuna watanganyika wengi zaidi ya wazee wako wa kiislamu na Nyerere walipeleka malalamika yao (Petitions) UMOJA WA MATAIFA. Pitia hapa:Research Guides: UN Trusteeship Council Documentation: Trusteeship Council Documents

============================================================

MUHIMU KUKUMBUKA: Mwaka 1954 TANU iliruhusu hata watu wa jamii za Asia na Europe kuwa wanachama, kabla ya hapo ilikuwa ni weusi tu. Unaposema kwamba wazee wako walikuwa wanapigania uhuru wa Tanganyika ilhali mara ya kwanza kabisa TANU inapata kama chama kikuu cha kupigania uhuru ilikuwa ni miaka ya 1950's hadi kupelekea jamii zote za Tanganyika kuwaunga mkono na kupata LEGITIMACY.

HIVYO BASI:
Mosi, wazee wako wa kiislamu walikuwa na hisa kwenye kudai uhuru kama wazee wengine wa Kichagga walikuwa nayo kwenye nafasi zao husika.

Pili, hakuna anayeweza kuhodhi historia ya uhuru wa Tanganyika na kusema kwamba yeye ndiyo wa muhimu kuliko wenzake, hata Nyerere mwenyewe hana umuhimu ambao alijipa na wengine wanampa. Uhuru lilikuwa suala la watu wengi siyo kikundi.

Tatu, wazee wako walisahaulika kwa maksudi huenda ni kweli, na una uhalali wote wa kuwasemea, ila usitaka kupindisha historia kusema wao ndiyo walionewa sana na mchango wao ndiyo mkubwa mno, ilhali ukweli ni kwamba hata wazee wa Kichagga, Kihaya na Kinyakyusa wengi wamefutwa kwenye historia japo walikuwa na mchango mkubwa kwenye jamii zetu husika.
 
Kijana mhadhiri wa historia katika moja ya vyuo vikuu kanifahamisha upinzani dhidi yake jinsi anavyosomesha historia.

Nimemwandikia hayo hapo chini:

WAASISI WA AFRICAN ASSOCIATION 1929 NA AL JAMIATUL ISLAMIYYA FI TANGANYIKA 1933
African Association imeanzishwa na Cecil Matola (President), Kleist Sykes (Secretary), Mzee bin Sudi, Ibrahim Hamisi, Ali Said Mpima, Zibe Kidasi, Suleiman Majisu, Rawson Watts na Raikes Kusi mwaka wa 1929.

Viongozi hawa waasisi wa African Association watoe hao Wakristo watatu: Cecil Matola, Rawson Watts na Raikes Kusi wakaunda Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) mwaka wa 1933.

Ikawa sasa Waingereza wanapambana na vyama viwili yaani African Association na Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika.

Hii ndiyo sababu unaona historia ya TANU ikawa hivi ninavyoihadithia pale ilipokuja kuundwa mwaka wa 1954.

HOFU YA KUANDIKA NA KUHIFADHI HISTORIA YA AFRICAN ASSOCIATION NA TANU
Historia hii baada ya uhuru kupatikana mwaka wa 1961 ikawa mfano wa jinamizi inawatisha baadhi ya watu.

Wakawa kwanza wanaogopa kutaja majina ya waasisi wa African Association hao ambao majina yao yapo hapo juu na pili wakawa na hofu pia hata ya kuhadithia historia yenyewe ilivyokuwa.

TANU ILIUNDWA VIPI?
Historia ya kuundwa kwa TANU mwaka wa 1954 imetanguliwa na simulizi nyingi za kusisimua hasa kuanzia mwaka wa 1950 baada ya kuundwa kwa TAA Political Subcommittee ambayo wajumbe wake walikuwa Dr. Vedasto Kyaruzi (President), Abdulwahid Sykes (Secretary), Mufti Sheikh Hassan bin Ameir, Hamza Mwapachu, Sheikh Said Chaurembo, Steven Mhando na John Rupia.

Kamati hii ina historia kubwa sana.

UPI UKWELI WA HISTORIA YA KUASISIWA KWA TANU?
Sababu kubwa inayonifanya mimi kuwa mbele kupita wenzangu katika kuijua historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika ni kuwa kwanza ni uhusiano wangu na wazalendo walioshiriki katika vuguvugu hili la siasa.

Wenzangu wao waliamini kuwa kabla ya Nyerere hapakuwa na harakati zozote dhidi ya ukoloni.

Wenzangu hawa waliamini siasa zilianza na Julius Nyerere mwaka wa 1953 alipochaguliwa kuwa President wa TAA.

Bahati mbaya sana Nyerere mwenyewe katika hotuba yake ya kuaga Diamond Jubilee Hall mwaka wa 1985 hakueleza vipi alichaguliwa na baya zaidi aliwaaminisha wasikilizaji wake kuwa yeye aliikuta TAA katika usingizi na yeye ndiye aliyeiamsha kutoka usingizini.

Hii si kweli.

MAPINDUZI NA UONGOZI WA VIJANA TAA 1950
Ukiisikia historia ya Schneider Abdillah Plantan nini alifanya kuwaingiza vijana katika uongozi wa TAA 1950 na kuutoa madarakani uongozi wa wazee utashangaa.

Vijana walioingizwa katika uongozi ni Dr. Vedasto Kyaruzi (President) na Abdulwahid Sykes (Secretary).

Wazee waliotolewa madarakani ni Thomas Saudtz Plantan (President) na Clement Mohamed Mtamila (Secretary).

Moto huu wa 1950 haukuzimika na ndiyo uliomtia Nyerere katika uongozi wa TAA katika uchaguzi wa mwaka 1953 alipogombea nafasi ya urais na Abdul Sykes.

Schneider Plantan ni mtoto wa Affande Plantan Mzulu kutoka Imhambane, Mozambique aliyekuja Deutsch Ostafrika na Hermann von Wissmann akiwa kiongozi wa jeshi la askari mamluki 400 wa Kizulu kutoka kijiji cha Kwa Likunyi walioletwa kuja kupigana na Abushiri bin Salim Al Harith wa Pangani.

Watoto watatu wa Affande Plantan ambae kwao alijulikana kama Chief Mohosh Shangaan wana historia yao katika historia ya uhuru wa Tanganyika.

Watoto hawa ni Thomas Plantan, Schneider Plantan na Ramadhani Mashado Plantan.

Mimi nikiijua historia hii na kumsikia Nyerere anasema TAA iliamshwa na yeye...

Kuna mtu muhimu sana katika historia hii ya Nyerere kùwa kiongozi wa TAA na kisha TANU.

Mtu huyu ni Hamza Mwapachu Mdigo kutoka Tanga na muhitimu wa Makerere College na University of Wales.

Mwapachu ndiye aliyeweka shinikizo kuwa Nyerere ndiye anaefaa kuwa kiongozi wa TAA 1953 na 1954 TANU iundwe aongoze harakati za kudai uhuru.

Hizi si dalili kuwa TAA ilikuwa usingizini.

Yote haya yamo katika kitabu cha Abdul Sykes.

HITIMISHO
Nilibahatika kuzungumza, kusoma nyaraka na vitabu vinavyoeleza maisha ya siasa za waasisi hawa wa TANU waliokuwa New Street Dar-es-Salaam na wengine majimboni: Abdul na Ally Sykes, Dossa Aziz, Tewa Said Tewa, Saadan Abdu Kandoro, Germano Pacha, Joseph Kimalando, Julius Nyerere na Japhet Kirilo.

Majina haya yote na yale waliyofanya kama mchango wao katika kupigania uhuru wa Tanganyika yamo katika Nyaraka za Sykes.

Hawa wanachama 9 ni katika waasisi 17 waliounda chama cha TANU tarehe 7 Julai 1954.
Chai
 
Back
Top Bottom