Yapi maneno kwa umpendaye baada ya kumaliza mazungumzo?

Yapi maneno kwa umpendaye baada ya kumaliza mazungumzo?

Wakuu habari za muda huu.

Poleni sana na mihangaiko wa kwuta nzima.

Natumaini baadhi yetu tumepata muda nzuri wa kupumzika na familia zetu.

Jambo au mambo ambayo napenda leo tuyajadili ni hili:

Wewe kama mwanaume au mwanamke katika kumaliza mazungumzo yenu je ni neno gani bora la kuagana kati ya haya na unajisikiaje ukitamkiwa au kuandikiwa?

1. oky
2. sawa
3. thank you honey/darling
4. bye
5. sawa bhana
6. utajua.
7. nimekuelewa
8. oky my wife/husband

Je, wewe unapenda kumwambia maneno mpenzi wako na yepi huoendi kuambiwa baada mazungumzo?.

Karibuni wakuu tutillilike hapa

View attachment 1841578View attachment 1841579View attachment 1841580
Poa
 
Siku nikimpata mpenzi nitakuja kusema tunaagana vipi. Ila yule dear ex ilikuwa ni 'bye, okay babe.
Siku uki kupata mpenzi!!!
Ni kwamba haujapata au hautaki kupata?
 
Mi yangu " bye sweetheart I wish ungekuwa pembeni yangu maana umeniaga hivi nimeloa tepetepe [emoji177][emoji177][emoji177][emoji8][emoji8]"
 
Back
Top Bottom