tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,931
- 15,849
Nakuja inboxHapo sasa nimekutamanisha nini? Sina mtu na sitaki mtu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuja inboxHapo sasa nimekutamanisha nini? Sina mtu na sitaki mtu.
Aise ni hatariHapo mambo yapo [emoji91][emoji91][emoji91] hadi kukata simu tu inabidi mrushiane mpira
[emoji23][emoji23][emoji23] ndio mkuuKwani side umesema tuseme nin? Si jins yakumaliza maongez na mwandani wako?
Mtu mgumu wewe mkuu.
Atakuwa nae huyuHivi ni kweli huna mtu we mrembo au unatutamanisha tu mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatariUtataka tu kwani vina mda basi[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]ni kweli.Kumpumulia masikioni na kumwambia ai lovu yu (jina)!
Aise atakujibu chapu tena kwa kudekaNeno la mwisho lililo bora ni kuwa "hivi hii number yako ina huduma za kifedha nikutumie 50k kesho ukasuke?"[emoji45]