Yapi maneno kwa umpendaye baada ya kumaliza mazungumzo?

Huwa sichoki kumwambia 'i love u' lakini huwa nabadili lugha tu siku nyingne namwambia kwa kiingereza, siku nyingne kwa kiswahili na mara moja moja akinikamata nasemaga kihindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…