Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 817
- 2,180
Kama uko online najua hujambo, wagonjwa wako ICU simu zao zimezimwa.
Kuna kasumba ya wanaume kuambiwa vibamia suala ambalo limepelekea kuibuka kwa wingi kwa watu wanaosema wanatibu tatizo hilo. Hivi juzi niliijiwa na jamaa yangu anasema ana rafiki yake anamsumbua amuelekeze dawa ya kukuza mashine jamaa anasema mzigo wake mzito na jamaa yake alimuona wakiwa washroom na anaona sio kawaida lazima jamaa katumia dawa kuongeza. Hii imenipa maswali.
Je, ni kweli hizi dawa zipo na zinafanya kazi?
Je, wanaozitumia wanapata matokeo ya moja kwa moja? Hairudi wakiacha dawa?
Kama kuna mtu ametumia au anamjua mtu alietumia na akapata matokeo atililike hapa.
Lengo ni tuelimishane ili kama hizi mambo ni utapeli watu waamke.
Asanteni.