Yapi maoni yako kuhusu tume ya uchunguzi wa matukio ya Okt 29?

Yapi maoni yako kuhusu tume ya uchunguzi wa matukio ya Okt 29?

Tume ya Chande yenyewe ilileta majibu gani ya maana?

Wanaochunguzwa wajiuzulu? You must be dreaming! Ni lini viongozi walijiuzulu kwa hiyari yao nchi hii?

Mwisho wa siku, hii tume inaenda kumchunguza nani wakati kila mtu anajua the real masterminds wa ghasia hizo? Ni mchezo wa paka na panya tu.
 
HPHVZD-WoAAGif1.jpg
HPJHxYYWUAArF51.jpg
 
Mkuu nakuheshimu sana Lakini Usikete Mada za Tume ni kujaza serva za Jf bila sababu
Tume ni Upumbavu.

Huwezi ukaua watu bila hatia ukasema ntaunda tume kuchunguza.

UHAI WA BINADAMU UNA THAMANI KULIKO KITU CHOCHOTE KILE.
HAULINGANISHWI NA KITU CHOCHOTE.
 
Binafsi inaenda kuchimba zaidi ya ile tume ya Chande. Mwisho wa siku nani hasa anachunguzwa kwenye hii tume? Na wanaochunguzwa je wapo tayari kuwajibika mintarafu kujiuzuru? Ngoja tuone

Soma Pia Rais Samia anazindua Tume ya Rais ya Uchunguzi wa wahusika wa ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025
Tume ya Jaji Chande ilisema Kuna viashiria vya jinai pale Oktoba 29. Hivyo sasa, kwa kuitumia Ripoti ya Tume ya Jaji Chande hii Tume ya Jaji Lilla inaenda kuangalia nani alitenda jinai ili afikishwe kwenye vyombo vya dola!
 
Maoni yanakusanywa kutoka wapi kama siyo kwa wananchi? Nani wa kuamini raia au vyombo vya dola?
 
Wewe ni jumla ya hisia zao.! Huzuni na furaha kwa kwa pamoja

Sijasema ni wewe mkurubita bali sehemu yake

Acha kufeki.! Kuna zaidi ya huo upumbavu

We are hia to make yu komfes.! And we pleased to hear. 🤗
Kila mtu abebe mzigo wake mwenyewe mi ni raia wa kawaida tu kaka
 
Wewe ni jumla ya hisia zao.! Huzuni na furaha kwa kwa pamoja

Sijasema ni wewe mkurubita bali sehemu yake

Acha kufeki.! Kuna zaidi ya huo upumbavu

We are hia to make yu komfes.! And we pleased to hear. 🤗
Confession siyo rahisi kama unavyodhani mpaka uwe na wongofu wa ndani
 
Back
Top Bottom