In an attempt to avoid accountability, the mazafakas are misusing taxpayers money!Binafsi inaenda kuchimba zaidi ya ile tume ya Chande. Mwisho wa siku nani hasa anachunguzwa kwenye hii tume? Na wanaochunguzwa je wapo tayari kuwajibika mintarafu kujiuzuru? Ngoja tuone
Soma Pia Rais Samia anazindua Tume ya Rais ya Uchunguzi wa wahusika wa ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025