MwananchiOG JF-Expert Member Joined Apr 4, 2023 Posts 1,970 Reaction score 4,037 Dec 31, 2024 #1 Matukio mengi yametokea mwaka huu 2024, Je kwa upande wako ni matukio gani unadhani ni makubwa na kwa namna moja ama nyingine yameacha alama au kumbukumbu fulani kwako?
Matukio mengi yametokea mwaka huu 2024, Je kwa upande wako ni matukio gani unadhani ni makubwa na kwa namna moja ama nyingine yameacha alama au kumbukumbu fulani kwako?