Asante.Hao siku hizi ni pesa tu ndio inawaimpress na siyo mavazi usijidanganye.
Vaa simple tu t-shirts na jeanz hakuna inayemkataa, chini snooker zako simple tu, mfuko ndio uongee zaidi.
Pafyumu inatategemea na pesa yako.
Nadhani mtoko wa pamoja wa mara ya kwanza mkiwa wawili. Imaweza ikawa ushakubaliwa au ndio waenda kumwaga madini upate kazi.First date maana yake nini ndugu zangu?, je ni baada ya kutongoza na kukubaliwa au ndio unaenda kumwaga madini?
Wachangiaji,Habari,
Watu wa masuala ya urembo na utanashati.
Mimi ni kijana wa kiume. Ningependa kupata muongozo wa mavazi ya kawaida (casual wear ) kwa ajili ya kuendea date kwa kijana wa kiume. Nimejipata napata shida kufahamu ni namna gani naweza vaa ili kuimuimpress nitakaekuwa nae...
Hilo ndio jibu hasa kwa huku kwetu.Asante.
Kumbe pesa ndio inaimpress.