Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
haijawah kumkataa mtu hiyo, naelewaJuu-tafuta ile jezi ya yanga nyeusi (ina zali sana)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haijawah kumkataa mtu hiyo, naelewaJuu-tafuta ile jezi ya yanga nyeusi (ina zali sana)
Nigawie furaha.Khaaa!!
Watu mnafanya maisha kuwa magumu sana!! Halafu siku Wazungu wakisema Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo wananchi wake hawana furaha utakuta mnabisha!!
Huwezi kuwa serious kwa vitu basic kama hivyo halafu utarajie eti unaweza kuwa mtu mwenye furaha... NEVER!
Anyway, nisiseme sana manake sie wengine ni Watoto wa Tandika! Hayo mambo ya sijui first date ni huko huko kwenu mlikoathiriwa ni movies za "Kimerekani" tangu enzi za Sunset Beach!
Jifunze na yale ya kwetu Watoto wa Tandika, and trust me, you'll love it!Nigawie furaha.
Mara zingine sio vibaya kujifunza kwa wengine.
Kuenda na wakati sio dhambi.
Usiwe kama malecturer wa history mlimani.
Basi, kwa unaweza tolea mfano kwa kila sehemu. Na mavazi akeUkitaka ushaur mzuri ni muhimu tujue hiyo date inakua wapi na majira/Usiku au mchana.
Vazi la dinner ya chips kuku kwa Sele bonge haliwezi kufanana na la dinner date mkienda pale Addis in Dar.
Utaingia na Limousin au boda?
Majibu yako ndo yatasaidia Stylist akupangie mavaz gan.
Babu unaenda kuzima Moto?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah Umetisha jmn
ilinibidi niangalie kwanzaa I'd yako,, nice 😍Mie nikienda kuonana na Mtoto mzuri haijalishi ni first time or wereva..
Chini- Kadet (Khaki/brown) sio bwanga ya kawaida na wala sio kichupa.. + Mkanda Black + (Sometimes Earpods case)
Mguuni - Boot flan la kupanda (Timberland style flan) or something smooth like Chelsea Boot. (Black or Brown)
Juu- Shirt la mikono mirefu (Jeans style) White/ Light blue- Grey plain or White iwe na culture styles zenye Blackish elements.
Shingoni - Necklace ya Gold (inatupiwa kwa ndan so inaonekana kwa mbaaaali)
Mkononi Saa (Gold mkono wa kushoto) Mkono wa kulia Bracelet ya Shaba (Thin.......).
Kichwani inategemea (Kofia mara moja moja sana) pemben na sunglasses just incase nikiw na ride kwenye jua or wateva the case.
Kuhusu manukato ( Nacheza ga na Tomford + Versace things) huwa kuna Mixing moja hivi matata.
Hela kias sio sana so malipo jitahid kulipa kwa BANK card. (Utajiwekea heshima).
Jitahid first date usijikweze sana stay low and gentle