Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Vaa kama kiongozi mkuu wa wasabato duniani,Nimejipata napata shida kufahamu ni namna gani naweza vaa ili kuimuimpress nitakaekuwa nae.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vaa kama kiongozi mkuu wa wasabato duniani,Nimejipata napata shida kufahamu ni namna gani naweza vaa ili kuimuimpress nitakaekuwa nae.
umewaza nini mkuu🤭Vaa T-shirt ya CRDB
Well.. Well..ilinibidi niangalie kwanzaa I'd yako,, nice 😍
😅😅 kuonana na mtoto tu..Babu unaenda kuzima Moto?!
vaa jeans na tshirt na raba zisizo fansy sana, mana unakuta mtu kavaa bonge la jordan...Vipi kama ni sehemu ya chakula?
Au ni lodge?
Habari,
Watu wa masuala ya urembo na utanashati.
Mimi ni kijana wa kiume. Ningependa kupata muongozo wa mavazi ya kawaida (casual wear ) kwa ajili ya kuendea date kwa kijana wa kiume. Nimejipata napata shida kufahamu ni namna gani naweza vaa ili kuimuimpress nitakaekuwa nae.
Pia ningependa nipendekezewe na perfume. Usiniambie nigoogle please.
Natanguliza shukurani.
Mitindo ipo mingi sana 😅😅😅Aisee
Mbona mchuchumio?Mitindo ipo mingi sana 😅😅😅View attachment 2564012
Mtindo tu huo 😅😅Mbona mchuchumio?