Vaa kama kiongozi mkuu wa wasabato duniani,Nimejipata napata shida kufahamu ni namna gani naweza vaa ili kuimuimpress nitakaekuwa nae.
umewaza nini mkuuπ€Vaa T-shirt ya CRDB
Well.. Well..ilinibidi niangalie kwanzaa I'd yako,, nice π
π π kuonana na mtoto tu..Babu unaenda kuzima Moto?!
vaa jeans na tshirt na raba zisizo fansy sana, mana unakuta mtu kavaa bonge la jordan...Vipi kama ni sehemu ya chakula?
Au ni lodge?
Habari,
Watu wa masuala ya urembo na utanashati.
Mimi ni kijana wa kiume. Ningependa kupata muongozo wa mavazi ya kawaida (casual wear ) kwa ajili ya kuendea date kwa kijana wa kiume. Nimejipata napata shida kufahamu ni namna gani naweza vaa ili kuimuimpress nitakaekuwa nae.
Pia ningependa nipendekezewe na perfume. Usiniambie nigoogle please.
Natanguliza shukurani.
Mitindo ipo mingi sana π π πAisee
Mbona mchuchumio?Mitindo ipo mingi sana π π π View attachment 2564012
Mtindo tu huo π πMbona mchuchumio?