Sawa mkuu.Huwa nikiwa nakutana na mwanamke navaa ifuatavyo
1. navaa kadet safi imenyooka(ZERO MPAUKO)
2. Shati la mikono mirefu(ZERO MPAUKO)rangi flan za kinyama si za kungaa mfano kijani, njano
3. Kiatu cha brown au nyeusi ila vile vya kungaa
4. Perfume kali wanawake wanapenda wanaume wanaonukia
5. Malipo yote nafanya kwa njia ya simu
6. Confidence muhimu kwenda nayo pia😂
NB: Wanaume tusivae nguo mpaka ipauke🤣🤣
Condom......Habari,
Watu wa masuala ya urembo na utanashati.
Mimi ni kijana wa kiume. Ningependa kupata muongozo wa mavazi ya kawaida (casual wear ) kwa ajili ya kuendea date kwa kijana wa kiume. Nimejipata napata shida kufahamu ni namna gani naweza vaa ili kuimuimpress nitakaekuwa nae.
Pia ningependa nipendekezewe na perfume. Usiniambie nigoogle please.
Natanguliza shukurani.
just in case, lolote laweza kutokeaSiendi kufanya mapenzi mimi.
Unyama..Mie nikienda kuonana na Mtoto mzuri haijalishi ni first time or wereva..
Chini- Kadet (Khaki/brown) sio bwanga ya kawaida na wala sio kichupa.. + Mkanda Black + (Sometimes Earpods case)
Mguuni - Boot flan la kupanda (Timberland style flan) or something smooth like Chelsea Boot. (Black or Brown)
Juu- Shirt la mikono mirefu (Jeans style) White/ Light blue- Grey plain or White iwe na culture styles zenye Blackish elements.
Shingoni - Necklace ya Gold (inatupiwa kwa ndan so inaonekana kwa mbaaaali)
Mkononi Saa (Gold mkono wa kushoto) Mkono wa kulia Bracelet ya Shaba (Thin.......).
Kichwani inategemea (Kofia mara moja moja sana) pemben na sunglasses just incase nikiw na ride kwenye jua or wateva the case.
Kuhusu manukato ( Nacheza ga na Tomford + Versace things) huwa kuna Mixing moja hivi matata.
Hela kias sio sana so malipo jitahid kulipa kwa BANK card. (Utajiwekea heshima).
Jitahid first date usijikweze sana stay low and gentle
Sawa mkuu shukranNenda ple m.city duka la kwannza limepakana n J.D parmacy wanauza na simu pia na J.d pharmacy zipo, ila pia kam utakuta zimeisha hapo nenda lile la juu limepakana n woorthworh
Jezi ya Yanga kwani wewe Bodaboda?suruali -jeans au cadet
Viatu-sandals /raba
Juu-tafuta ile jezi ya yanga nyeusi (ina zali sana) nakuhakikishia hachomoki huyo
shati la red, suruali njano. viatu vyeupe na perfume kulthum, imetoka hioHabari,
Watu wa masuala ya urembo na utanashati.
Mimi ni kijana wa kiume. Ningependa kupata muongozo wa mavazi ya kawaida (casual wear ) kwa ajili ya kuendea date kwa kijana wa kiume. Nimejipata napata shida kufahamu ni namna gani naweza vaa ili kuimuimpress nitakaekuwa nae.
Pia ningependa nipendekezewe na perfume. Usiniambie nigoogle please.
Natanguliza shukurani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata ukienda uchi ilmradi ubebe pesa tu za kutosha wala haina shida
Nakazia ujumbe mkuuHao siku hizi ni pesa tu ndio inawaimpress na siyo mavazi usijidanganye.
Vaa simple tu t-shirts na jeanz hakuna inayemkataa, chini sneakers zako simple tu, mfuko ndio uongee zaidi.
Pafyumu inatategemea na pesa yako.
View attachment 2561242