Yapi ni Mavazi sahihi kwa Mwanaume kwaajili ya Mtoko wa kukutana na Mwanamke kwa mra ya kwanza?

Yapi ni Mavazi sahihi kwa Mwanaume kwaajili ya Mtoko wa kukutana na Mwanamke kwa mra ya kwanza?

Huwa nikiwa nakutana na mwanamke navaa ifuatavyo
1. navaa kadet safi imenyooka(ZERO MPAUKO)
2. Shati la mikono mirefu(ZERO MPAUKO)rangi flan za kinyama si za kungaa mfano kijani, njano
3. Kiatu cha brown au nyeusi ila vile vya kungaa
4. Perfume kali wanawake wanapenda wanaume wanaonukia
5. Malipo yote nafanya kwa njia ya simu
6. Confidence muhimu kwenda nayo pia😂

NB: Wanaume tusivae nguo mpaka ipauke🤣🤣
Sawa mkuu.
Uko vizuri
 
Kumbe kuna vijana wenzangu bado mnateseka sana na mapenzi [emoji276]siku nikitongoza mtoto wa mfalme ndio nitafanya hivyo lakini hawa wakina umber lulu hawahitaji mbwembwe hizo
 
Habari,

Watu wa masuala ya urembo na utanashati.

Mimi ni kijana wa kiume. Ningependa kupata muongozo wa mavazi ya kawaida (casual wear ) kwa ajili ya kuendea date kwa kijana wa kiume. Nimejipata napata shida kufahamu ni namna gani naweza vaa ili kuimuimpress nitakaekuwa nae.

Pia ningependa nipendekezewe na perfume. Usiniambie nigoogle please.

Natanguliza shukurani.
Condom......
Usisahau Condom please!!
 
Mie nikienda kuonana na Mtoto mzuri haijalishi ni first time or wereva..

Chini- Kadet (Khaki/brown) sio bwanga ya kawaida na wala sio kichupa.. + Mkanda Black + (Sometimes Earpods case)

Mguuni - Boot flan la kupanda (Timberland style flan) or something smooth like Chelsea Boot. (Black or Brown)

Juu- Shirt la mikono mirefu (Jeans style) White/ Light blue- Grey plain or White iwe na culture styles zenye Blackish elements.

Shingoni - Necklace ya Gold (inatupiwa kwa ndan so inaonekana kwa mbaaaali)

Mkononi Saa (Gold mkono wa kushoto) Mkono wa kulia Bracelet ya Shaba (Thin.......).

Kichwani inategemea (Kofia mara moja moja sana) pemben na sunglasses just incase nikiw na ride kwenye jua or wateva the case.

Kuhusu manukato ( Nacheza ga na Tomford + Versace things) huwa kuna Mixing moja hivi matata.

Hela kias sio sana so malipo jitahid kulipa kwa BANK card. (Utajiwekea heshima).

Jitahid first date usijikweze sana stay low and gentle
Unyama..
 
Habari,

Watu wa masuala ya urembo na utanashati.

Mimi ni kijana wa kiume. Ningependa kupata muongozo wa mavazi ya kawaida (casual wear ) kwa ajili ya kuendea date kwa kijana wa kiume. Nimejipata napata shida kufahamu ni namna gani naweza vaa ili kuimuimpress nitakaekuwa nae.

Pia ningependa nipendekezewe na perfume. Usiniambie nigoogle please.

Natanguliza shukurani.
shati la red, suruali njano. viatu vyeupe na perfume kulthum, imetoka hio
 
Back
Top Bottom