SheriaE
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 606
- 447
- Thread starter
- #101
Sawa mkuu.Huwa nikiwa nakutana na mwanamke navaa ifuatavyo
1. navaa kadet safi imenyooka(ZERO MPAUKO)
2. Shati la mikono mirefu(ZERO MPAUKO)rangi flan za kinyama si za kungaa mfano kijani, njano
3. Kiatu cha brown au nyeusi ila vile vya kungaa
4. Perfume kali wanawake wanapenda wanaume wanaonukia
5. Malipo yote nafanya kwa njia ya simu
6. Confidence muhimu kwenda nayo pia😂
NB: Wanaume tusivae nguo mpaka ipauke🤣🤣
Uko vizuri