Kuna watu wanai push kwa nguvu sana hata sielewi wana matarajio yep.
Kikubwa Mh Rais Samia asikubali mambo ya kulazimisha, ataingiza nchi sehemu mbya. Wengine wanatumiwa na viongozi.
Kwa mfano ya mambo ya nchi za nnje hii inaypigiwa debe ni hatari sNa kuingiza nchi matatizo. Huku wanabadili elimu huku Sera za nje.
Tutaingia vitani.
Elimu isibadilishwe badilishwe. Kinachotakiwa wawekeze kwenye elimu 50 percent darasani 50 percent vitendo
Nimeshangaa sana kwenye elimu hakuna kilimo maajabu makubw wamejaza mambo masomo ya dini yaan ndio kuiingiza nchi matatizo
Embi angalia hizi tahasusi
View attachment 2866901
Yaani kombi ya kilimo imewekwa kama dawa.
View attachment 2866898View attachment 2866899
View attachment 2866900
Yaani nchi ina maeneo ya kilimo hakuna msisitizo kwa a
Shule za kilimo
Maajabu Haya hapa ndio utaona kuna watu wanaua nchi hii