Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Mbaya zaidi Naibu speaker alimruhusu aendelee kubwabwaja, CCM kumevuruguka!Huku mama yuko Kwa Putin!Tumeshindwa kabisa kukaa vikao vya kichama na kuyamaliza?, tuliolelewa ndani ya chama tunarekodi nzuri juu chama chetu na mifano lukuki juu ya ccm yetu,ambayo inapotokea misuguano basi sisi wana ccm wote kwa pamoja huchutama chini na kukaa pamoja na kuondosha zimwi linalotaka kujitokeza na hatimaye ndani ya vikao vyetu hutoka humo tukiwa wamoja zaidi ya Awali.
Kwa hali iliyopo mkutano wa dharura haukwepeki yaani mkutano wa kikao cha ndani cha kichama,usio na waandishi wa habari,ndivyo tulivyowahi kufanya huko kitambo,
Haipendezi sisi wacheza kwata tuliokosa nafasi za kichama tukafahamu kanuni zaidi ya nyie ambao mpo katika mamlaka halali zakiuongozi,
Bungeni pawe mahala pa kuiambia serekali juu ya kero za watanzania hawa,na pasiwe pahala pa kunyoosheana vidole baina ya wana CCM kwa mwana CCM,hii ni fedhea kubwa na si ukomavu katika falisafa za kiitikadi za chama chetu cha mapinduzi.
#INSHAALLAH.
#Asharosemigiro!8
Alipata haki yake ya dk 3 ,kidemokrasia!,unless tusingefahamu kama hali ni mbaya kiasi hiki.Mbaya zaidi Naibu speaker alimruhusu aendelee kubwabwaja, CCM kumevuruguka!Huku mama yuko Kwa Putin!
Ni kweli kuna wakati yupo imma mmoja alikuwa anagombea uenyekiti wa vijana,alifanya nhama ili mpinzani wake dada mmoja hivi akapewa sumu kwenye majinya kunywa,ccm waliyamaliza ndani kwa ndaniTumeshindwa kabisa kukaa vikao vya kichama na kuyamaliza?, tuliolelewa ndani ya chama tunarekodi nzuri juu chama chetu na mifano lukuki juu ya ccm yetu,ambayo inapotokea misuguano basi sisi wana ccm wote kwa pamoja huchutama chini na kukaa pamoja na kuondosha zimwi linalotaka kujitokeza na hatimaye ndani ya vikao vyetu hutoka humo tukiwa wamoja zaidi ya Awali.
Kwa hali iliyopo mkutano wa dharura haukwepeki yaani mkutano wa kikao cha ndani cha kichama,usio na waandishi wa habari,ndivyo tulivyowahi kufanya huko kitambo,
Haipendezi sisi wacheza kwata tuliokosa nafasi za kichama tukafahamu kanuni zaidi ya nyie ambao mpo katika mamlaka halali zakiuongozi,
Bungeni pawe mahala pa kuiambia serekali juu ya kero za watanzania hawa,na pasiwe pahala pa kunyoosheana vidole baina ya wana CCM kwa mwana CCM,hii ni fedhea kubwa na si ukomavu katika falisafa za kiitikadi za chama chetu cha mapinduzi.
#INSHAALLAH.
#Asharosemigiro!8
Tumeshindwa kabisa kukaa vikao vya kichama na kuyamaliza?, tuliolelewa ndani ya chama tunarekodi nzuri juu chama chetu na mifano lukuki juu ya ccm yetu,ambayo inapotokea misuguano basi sisi wana ccm wote kwa pamoja huchutama chini na kukaa pamoja na kuondosha zimwi linalotaka kujitokeza na hatimaye ndani ya vikao vyetu hutoka humo tukiwa wamoja zaidi ya Awali.

Huu ni UONGO, maana ni kwenye vikao kama hivyo ndo maccm hupata fursa adhimu ya kupeana sumu na kuumizana au kuuana kabisa!!inapotokea misuguano basi sisi wana ccm wote kwa pamoja huchutama chini na kukaa pamoja na kuondosha zimwi linalotaka kujitokeza na hatimaye ndani ya vikao vyetu hutoka humo tukiwa wamoja zaidi ya Awali.
Kwanini mliua watu mbwa nyie? Mnafikiri Mungu atawaacha? Shenzy kabisaTumeshindwa kabisa kukaa vikao vya kichama na kuyamaliza?, tuliolelewa ndani ya chama tunarekodi nzuri juu chama chetu na mifano lukuki juu ya ccm yetu,ambayo inapotokea misuguano basi sisi wana ccm wote kwa pamoja huchutama chini na kukaa pamoja na kuondosha zimwi linalotaka kujitokeza na hatimaye ndani ya vikao vyetu hutoka humo tukiwa wamoja zaidi ya Awali.
Kwa hali iliyopo mkutano wa dharura haukwepeki yaani mkutano wa kikao cha ndani cha kichama,usio na waandishi wa habari,ndivyo tulivyowahi kufanya huko kitambo, Haipendezi sisi wacheza kwata tuliokosa nafasi za kichama tukafahamu kanuni zaidi ya nyie ambao mpo katika mamlaka halali zakiuongozi,
Bungeni pawe mahala pa kuiambia serekali juu ya kero za watanzania hawa,na pasiwe pahala pa kunyoosheana vidole baina ya wana CCM kwa mwana CCM,hii ni fedhea kubwa na si ukomavu katika falisafa za kiitikadi za chama chetu cha mapinduzi.
Tumeshindwa kabisa kukaa vikao vya kichama na kuyamaliza?, tuliolelewa ndani ya chama tunarekodi nzuri juu chama chetu na mifano lukuki juu ya ccm yetu,ambayo inapotokea misuguano basi sisi wana ccm wote kwa pamoja huchutama chini na kukaa pamoja na kuondosha zimwi linalotaka kujitokeza na hatimaye ndani ya vikao vyetu hutoka humo tukiwa wamoja zaidi ya Awali.
Kwa hali iliyopo mkutano wa dharura haukwepeki yaani mkutano wa kikao cha ndani cha kichama,usio na waandishi wa habari,ndivyo tulivyowahi kufanya huko kitambo, Haipendezi sisi wacheza kwata tuliokosa nafasi za kichama tukafahamu kanuni zaidi ya nyie ambao mpo katika mamlaka halali zakiuongozi,
Bungeni pawe mahala pa kuiambia serekali juu ya kero za watanzania hawa,na pasiwe pahala pa kunyoosheana vidole baina ya wana CCM kwa mwana CCM,hii ni fedhea kubwa na si ukomavu katika falisafa za kiitikadi za chama chetu cha mapinduzi.
Hatuwezi kumuita yuda,huyu ni mwana ccm mwenye mtazamo positive pengine ukawa na faida kwa ujenzi ndani ya chama chetu (CCM)Mko busy na Lissu kumbe Mna yuda 😄
Tumeshindwa kabisa kukaa vikao vya kichama na kuyamaliza?, tuliolelewa ndani ya chama tunarekodi nzuri juu chama chetu na mifano lukuki juu ya ccm yetu,ambayo inapotokea misuguano basi sisi wana ccm wote kwa pamoja huchutama chini na kukaa pamoja na kuondosha zimwi linalotaka kujitokeza na hatimaye ndani ya vikao vyetu hutoka humo tukiwa wamoja zaidi ya Awali.
Kwa hali iliyopo mkutano wa dharura haukwepeki yaani mkutano wa kikao cha ndani cha kichama,usio na waandishi wa habari,ndivyo tulivyowahi kufanya huko kitambo, Haipendezi sisi wacheza kwata tuliokosa nafasi za kichama tukafahamu kanuni zaidi ya nyie ambao mpo katika mamlaka halali zakiuongozi,
Bungeni pawe mahala pa kuiambia serekali juu ya kero za watanzania hawa,na pasiwe pahala pa kunyoosheana vidole baina ya wana CCM kwa mwana CCM,hii ni fedhea kubwa na si ukomavu katika falisafa za kiitikadi za chama chetu cha mapinduzi.
Hippopotumus mtoto at workTumeshindwa kabisa kukaa vikao vya kichama na kuyamaliza?, tuliolelewa ndani ya chama tunarekodi nzuri juu chama chetu na mifano lukuki juu ya ccm yetu,ambayo inapotokea misuguano basi sisi wana ccm wote kwa pamoja huchutama chini na kukaa pamoja na kuondosha zimwi linalotaka kujitokeza na hatimaye ndani ya vikao vyetu hutoka humo tukiwa wamoja zaidi ya Awali.
Kwa hali iliyopo mkutano wa dharura haukwepeki yaani mkutano wa kikao cha ndani cha kichama,usio na waandishi wa habari,ndivyo tulivyowahi kufanya huko kitambo, Haipendezi sisi wacheza kwata tuliokosa nafasi za kichama tukafahamu kanuni zaidi ya nyie ambao mpo katika mamlaka halali zakiuongozi,
Bungeni pawe mahala pa kuiambia serekali juu ya kero za watanzania hawa,na pasiwe pahala pa kunyoosheana vidole baina ya wana CCM kwa mwana CCM,hii ni fedhea kubwa na si ukomavu katika falisafa za kiitikadi za chama chetu cha mapinduzi.
Aha aha aha, Umuofia kwenu!!! 🙏"Too late to fight the White man" These were Obierika's words to his friend Okonkwo in Things Fall Apart.