Yapo mambo yanaendelea kwa sasa si mazuri kwa afya ya chama chetu (CCM)

Hata wangekuja waganga kutoka Babel, kifo Cha ni lazima. Labda kama Dunia haikuumbwa na mwenye miliki yake, CCM mmefikia hatua ya kumsubtitute Mungu. Sasa hata mtembee kwa miguu mpaka sayari ya mars ni lazima litokeee
 
Tumeshindwa kabisa kukaa vikao vya kichama na kuyamaliza?, tuliolelewa ndani ya chama tunarekodi nzuri juu chama chetu na mifano lukuki juu ya ccm yetu,ambayo inapotokea misuguano basi sisi wana ccm wote kwa pamoja huchutama chini na kukaa pamoja na kuondosha zimwi linalotaka kujitokeza na hatimaye ndani ya vikao vyetu hutoka humo tukiwa wamoja zaidi ya Awali.

Kwa hali iliyopo mkutano wa dharura haukwepeki yaani mkutano wa kikao cha ndani cha kichama,usio na waandishi wa habari,ndivyo tulivyowahi kufanya huko kitambo, Haipendezi sisi wacheza kwata tuliokosa nafasi za kichama tukafahamu kanuni zaidi ya nyie ambao mpo katika mamlaka halali zakiuongozi,

Bungeni pawe mahala pa kuiambia serekali juu ya kero za watanzania hawa,na pasiwe pahala pa kunyoosheana vidole baina ya wana CCM kwa mwana CCM,hii ni fedhea kubwa na si ukomavu katika falisafa za kiitikadi za chama chetu cha mapinduzi.
Mkuu, nyoosha maelezo yako vizuri.
 
Kulingana na oct.29 hayo ni mazuri na huenda ndiyo ile maana ya muosha huoshwa!
 
KIMESHA UMANA,KUROPOKA ROPOKA SIO ISSUE/ MBUNGE WA AINA HII DAWA YAKE NI AONDOSHWE TU?
Mshana Jr
1000003334.jpg
 
Tumeshindwa kabisa kukaa vikao vya kichama na kuyamaliza?, tuliolelewa ndani ya chama tunarekodi nzuri juu chama chetu na mifano lukuki juu ya ccm yetu,ambayo inapotokea misuguano basi sisi wana ccm wote kwa pamoja huchutama chini na kukaa pamoja na kuondosha zimwi linalotaka kujitokeza na hatimaye ndani ya vikao vyetu hutoka humo tukiwa wamoja zaidi ya Awali.

Kwa hali iliyopo mkutano wa dharura haukwepeki yaani mkutano wa kikao cha ndani cha kichama,usio na waandishi wa habari,ndivyo tulivyowahi kufanya huko kitambo, Haipendezi sisi wacheza kwata tuliokosa nafasi za kichama tukafahamu kanuni zaidi ya nyie ambao mpo katika mamlaka halali zakiuongozi,

Bungeni pawe mahala pa kuiambia serekali juu ya kero za watanzania hawa,na pasiwe pahala pa kunyoosheana vidole baina ya wana CCM kwa mwana CCM,hii ni fedhea kubwa na si ukomavu katika falisafa za kiitikadi za chama chetu cha mapinduzi.
Tiatiaaah na genge lake la akina Lucas mwashamba watakutukana san hapa!!!
 
Back
Top Bottom