😂😂😂Duh ccm watoke madarakani tuu mana wanaleta shida kimataifa
Wameshindwa hata kurekodi videoBaada ya maswahiba wawili Elon na DJT waliowahi kushibana sana kumwagana wiki ya karibuni siri zao mbalimbali zaendelea kuvuja au kuachiliwa, mojawapo ya hivi karibuni na Elon Musk kushikana mashati na waziri wa fedha wa Marekani katika moja ya vikao kazi vyao ambapo ilibidi hadi watu wazima wengine waingilie kati kuwaamua!
View attachment 3360014
😆Duh ccm watoke madarakani tuu mana wanaleta shida kimataifa