Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo chukua kamisheni yako kwa kazi nzuriView attachment 3232811
Yas ni balaa na nusu
mimi sitangazi kitu hapa mimi ni mtumiaji tu sema wananifurahisha japo kero hazikosi kuna kipindi week nzima ilikata nawapigia wanasema watakuja hawaji mpaka nilivyotatua tatizo mwenyeweNjoo chukua kamisheni yako kwa kazi nzuri
Mimi natumia kifurushi cha 55000 ambacho kinapaswa kunipa speed ya 25mbs lakini mara zotee huwa ni zaidi ya hapo sasa sijui shida ni mitambo yao au vipiWeka na bei
Niliona kama sehemu mwezi wa kwanza una ofa, wa Pili inarudi speed zao zile zile.Mimi natumia kifurushi cha 55000 ambacho kinapaswa kunipa speed ya 25mbs lakini mara zotee huwa ni zaidi ya hapo sasa sijui shida ni mitambo yao au vipi
Mkuu nimeanza itumia toka august na wakati naitumia kifurushi cha 20mbs ilikuwa 70000 baadaye wakashusha ikawa 25mbs 55000 na speed mara zote ni zaidi ya hyoNiliona kama sehemu mwezi wa kwanza una ofa, wa Pili inarudi speed zao zile zile.
Du! Hiyo latency inanitoa udenda.View attachment 3232811
Yas ni balaa na nusu
Na kwenye latency ndipo fiber inapiga huduma za wireless fimboDu! Hiyo latency inanitoa udenda.
Vp Huku Mombasa dsm -bombambili naweza pata fiber network hiyoNa kwenye latency ndipo fiber inapiga huduma za wireless fimbo
Upo sahihi mkuuNiliona kama sehemu mwezi wa kwanza una ofa, wa Pili inarudi speed zao zile zile.
Mkuu sina hakika labda uwacheki mkuu maana sidhani kama wako kila mahali. ila wapo sinza, bunju, mbweni, tegeta, mbezi beach, mikocheni, na sehemu zote za down townVp Huku Mombasa dsm -bombambili naweza pata fiber network hiyo
Upo kwenye shared na zone yako huna watu wengi,ikichanganya ndio utatia akili hata 5mbps hufikiMimi natumia kifurushi cha 55000 ambacho kinapaswa kunipa speed ya 25mbs lakini mara zotee huwa ni zaidi ya hapo sasa sijui shida ni mitambo yao au vipi
Mpaka ifke huko nitakuwa nishaifaidi sana maana inaenda hadi 500mbs downloadUpo kwenye shared na zone yako huna watu wengi,ikichanganya ndio utatia akili hata 5mbps hufiki
Hata mimi natumia 55K lakini napata mpaka 200mbs. Issue ni watu bado hawajawa wengi, kuna spare capacity ya kutoshaMimi natumia kifurushi cha 55000 ambacho kinapaswa kunipa speed ya 25mbs lakini mara zotee huwa ni zaidi ya hapo sasa sijui shida ni mitambo yao au vipi
Skuizi voda ndio wamekuwa kausha damuKila siku zinavyoenda huduma ya internet inazidi kushuka. Especially hizi unlimited data.
Sijawahi watumia ata ila nasikia net yao speed kali sana. Natumia Airtel Router ya 70k sio mbaya inanitosha.Skuizi voda ndio wamekuwa kausha damu
Mie juzi nilipata tabu sana natamani sana nirudi AirtelSijawahi watumia ata ila nasikia net yao speed kali sana. Natumia Airtel Router ya 70k sio mbaya inanitosha.