Yas fiber ni kiboko cha speed hata starlink hawaoni ndani. check hizi speed

Mimi natumia kifurushi cha 55000 ambacho kinapaswa kunipa speed ya 25mbs lakini mara zotee huwa ni zaidi ya hapo sasa sijui shida ni mitambo yao au vipi
Upo kwenye shared na zone yako huna watu wengi,ikichanganya ndio utatia akili hata 5mbps hufiki
 
Kila siku zinavyoenda huduma ya internet inazidi kushuka. Especially hizi unlimited data.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…