YAS kiboko, matatizo kibao katika huduma zao

1. Badhi ya namba unajibiwa namba unayopiga umekosea chunguza tena, inawezekana ya mumeo au mkeo

2. Ukitaka kuunganisha Yas pesa unaabiwa bad connection or wrong MMI

3. Ukitaka kujiunga band, mtandao unakatika
Kweli huuu mtandao KIBOKO, siku 2 mambo yamekuwa moto moto
Wapeni muda jamani loh
 
Watakuwa wanafanya modification mkuu.
 
Back
Top Bottom