Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Wapeni muda jamani loh1. Badhi ya namba unajibiwa namba unayopiga umekosea chunguza tena, inawezekana ya mumeo au mkeo
2. Ukitaka kuunganisha Yas pesa unaabiwa bad connection or wrong MMI
3. Ukitaka kujiunga band, mtandao unakatika
Kweli huuu mtandao KIBOKO, siku 2 mambo yamekuwa moto moto