Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Nasikia kuna ajali mbaya imetokea usiku huu huko Ikungi, tafadhali mlioko huko Ikungi tupeane habari, tuna ndugu wanasafiri usiku huu na hatuna mawasiliano nao, kuna ndugu amepita hapo ameona wasamaria wema wakijaribu kuwatoa wahanga kwenye hayo magari.