Tetesi: Yasemekana Kuna Ajali Mbaya Imetokea Ikungi Singida

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
Nasikia kuna ajali mbaya imetokea usiku huu huko Ikungi, tafadhali mlioko huko Ikungi tupeane habari, tuna ndugu wanasafiri usiku huu na hatuna mawasiliano nao, kuna ndugu amepita hapo ameona wasamaria wema wakijaribu kuwatoa wahanga kwenye hayo magari.
 
Magari gani mkuu?Muwe basi mnakuja na taarifa ambazo tunajua wapi pa kuanzia ni mabasi ya abiria au malori au gari ndogo?Njoo kwa utulivu tafadhali
 
Mawasiliano yao
 
Amka basi tupe taarifa kamili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…