Yasikie kwa jirani tu

Picha zaidi ya hiyo zipo nyingi nchini Ukraine πŸ‡ΊπŸ‡¦ ambapo madhara wanayoyapata ni zaidi ya hao unaowatetea. Lakini Cha ajabu wewe ni shabiki wa anayempiga Ukraine πŸ˜…πŸ˜…
 
Yasemekana watu wenye asili ya chi hiyo walionywa kuwa wasiwape hao jamaa hata inchi moja ya ardhi kwani wakiwapa inchi watachukua Yard
Na wakiwapa Yard watachukua Mile
Na wakiwapa Mile watataka ARDHI ya Nchi yoteee!
Ndo kinacho tokea sasa
 
Hawana vivid example? Hapo unamaanisha nini mkuu?
 
Wapigwe tu ww baba ni chizi anaenda kuchokoza nyuki wakati anajua ana watoto.Mm huruma za kipuuzi sina.Ww uchokoze watu harafu unapigwa unatafuta kapicha ka watoto na kabendela eti tuone huruma shenz kabisa Israeli piga hao wapuuzi mpaka adab ishike mkondo maana kama wanapata mda wa kuandaa watoto na kuwapa ka bendela inaonekana bado kipigo hakijawapata sawa sawa.Piga mpaka uzao wao ili watakao baki wawe wanasimuliana jamani tukaeni kwa amani na watu na majirani.
 
Dah hii picha imenifikirisha sana unajuwa haya mambo some time huwa tunayachukulia poa kwa sababu hayajatokea kwenye nchi zetu.

Ata hivyo wanaonekana bado wana matumaini licha ya kupitia magumu.View attachment 2792828
Huyo mzayuni arudi kwenye mipaka yake aliyopewa mwaka 1947 na umoja wa mataifa, vinginevyo hakuna atakaekubali uonevu wa kiasi hiki, vitahaitaisha hii...
 

Uache hali kama hii iendelee kisa una watoto?
 
Hiyo hali haijawakuta,ni matokeo ya wao ku resist hiyo occupation ya Israel ambapo as a result waliishia kupigwa na ardhi yao kupokonywa zaidi.

Kwa sababu bado wanatumia njia ile ile may be watapokonywa hata hicho kidogo walichobaki nacho.
Kuresist occupation? Yaani ni kama wewe uje kulawitiwa halafu tukulaumu kwa kitendo cha wewe kukataa kuingiliwa kinyume?!
 
Kuresist occupation? Yaani ni kama wewe uje kulawitiwa halafu tukulaumu kwa kitendo cha wewe kukataa kuingiliwa kinyume?!
Ndio, yaani waje kukulawiti wewe halafu tukulaumu kwa kitendo cha wewe kukataa kinyume.
 
Dah hii picha imenifikirisha sana unajuwa haya mambo some time huwa tunayachukulia poa kwa sababu hayajatokea kwenye nchi zetu.

Ata hivyo wanaonekana bado wana matumaini licha ya kupitia magumu.View attachment 2792828
Hakuna kitu kibaya kama dam. Palestina wanaumia kwa ujinga wa kikundi kimoja tu Hamas. Dam walio mwaga kule Israel ina watafuta😭😭🀐🀐
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…