Yasipotokea haya tarehe 8 Machi, 2025 Kipigo kipo pale pale kwa anayepigwa kila mara

Yasipotokea haya tarehe 8 Machi, 2025 Kipigo kipo pale pale kwa anayepigwa kila mara

Ee Mwenyezi Mungu mapenzi yako yatimizwe katika kila kitu.
Nakemea kila nia ovu juu ya mchezo huo.
Ashinde yeyote uliyempa kibali mbele zako.
Acha baraka zako zimiminike ee Bwana, Acha ukuu wako uonekane ee Bwana. Jidhihirishe katika kazi za watu wako wenye nia nyofu mbele zako Bwana.

Ukadhihirike ,ukaonekane kati watu wako Bwana.Tazama mchezo huo ni ajira kwa watu wako Bwana.
Nakemea roho za shirki, imani potofu nakila kitu kilicho kinyume na mapenzi yako Bwana.
Mungu wa Ibrahim Mungu wa Isaka Mungu aa Yakobo jina lako litukuzwe katika watu wote.
Nanaomba hayo kwa njia ya Yesu Kristo Bwana na mwokozi wa maisha yangu.

Amina.
Amen..
 
Gents juzi nakuita pale Moroko nikupe lift we ukawa busy kugombania Eicher ya Mbgl Kawe
 
KAMATI ZA UFUNDI ZIMESHACHEZA HILI MBUNGI TAYARI
1. Mchezaji mmoja Kupasuka na kuvuja Damu Kichwani au Usoni.

2. Kadi Nyekundu (ya Mchezaji tegemezi) na Timu moja kucheza pungufu.

3. Mtanange kusimama kwa dakika 3 hadi 5 kutokana na Fujo.

4. Kama kafara la Mtu maarufu na mwanachama lia lia halijafanyika au hajafa

5. Ndimu zisipotumika

6. Asipotangulizwa Mkongo katika kila Tukio

7. Timu isipoanzia Goli la bahati Kinyota la Kusini na Kipindi cha Pili kumalizia Goli zuri la Kaskazini.

Nimemaliza.
 
Gents juzi nakuita pale Moroko nikupe lift we ukawa busy kugombania Eicher ya Mbgl Kawe
Nipo Kampala nchini Uganda Kikazi tokea tarehe 9 Mwezi Aprili mwaka jana. Na huko Kawe nilihama mwaka jana tarehe 18 Mwezi Februari na kuhamia katika Makazi mapya Mapinga Mkoani Pwani japo bado pia yako Makazi mengine Masaki jirani kabisa na Coco Beach na mita chache na Shule ya Kimataifa ya IST.
 
Back
Top Bottom