Ndagullachrles
JF-Expert Member
- Jun 20, 2023
- 256
- 259
Ameandika Febrona Massawe kutoka YASNET
Leo nimepata fursa ya kushiriki Tanzania Startup Week 2026 katika JNICC, Dar es Salaam.
Ushiriki huu unaimarisha imani yangu kwamba ubunifu, ushirikiano na mitandao ya kimkakati ni muhimu katika kukuza biashara na kutengeneza fursa kwa vijana.
Kupitia YASNET (Youth Agro Service Network) tuna dhamira ya kuwaandaa na kuwawezesha vijana katika sekta za kilimo, ufugaji na uvuvi, tukizingatia mnyororo mzima wa thamani kuanzia uzalishaji hadi masoko, teknolojia na biashara.
Dira yetu ni kuhakikisha vijana hawawi watazamaji wa maendeleo ya sekta hizi, bali wanakuwa sehemu ya suluhisho na mabadiliko.
#TanzaniaStartupWeek2026 #YASNET #Kilimo #Ufugaji #Uvuvi #UwezeshajiVijana #Ubunifu