Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Jidanganye dogo.Simanishi hawawezi kumuua la hasha, shida ni baada ya kumuua watafanyiwa nini na Iran. Hakuna nchi hapa dunian inaweza kuthubutu kumuua Ayatollah si UK,US ijekua Israel?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jidanganye dogo.Simanishi hawawezi kumuua la hasha, shida ni baada ya kumuua watafanyiwa nini na Iran. Hakuna nchi hapa dunian inaweza kuthubutu kumuua Ayatollah si UK,US ijekua Israel?
To simplify the matter let's assume vyote vilichangia kifo chake but to what extent needs to be established.Tangu kifo chake mwaka 2004, kuna sintofahamu ni kipi hasa kilimuua Kiongozi wa zamani wa Palestina Yasser Arafat. Kuna nadharia nyingi juu ya kifo chake, wengine wanadai aliuaawa na wengine wanadai alikufa kifo Cha kawaida.
1. Nadharia ya kwanza: Aliuawa.
Wengi kwenye nadharia ya kwanza wanadai ya kwamba Yasser Arafat Aliuawa na maadui zake wa kisiasa. Kwamba baada ya kukataa offer ya Waziri Mkuu wa Israel wa Ehud Barak mwaka 2000 ya uwanzishaji wa mataifa mawili ya Israel na Palestina, shida ilianzia hapo.
Inadaiwa ya kwamba Yasser Arafat alidhamiria ya kwamba ili Taifa la Palestina lianzishwe basi inabidi wakimbizi wote wa kpalestina waliofurumushwa kutoka Israel warudi kwenye maeneo yao kwanza ndani ya Israel ndipo Sasa wakubaliane kuanzisha nchi mbili za Israel na Palestina. Msimamo huu ndio chanzo Cha uadui na hata kuuawa.
Kwenye nadharia hii inadaiwa na wapelelezi wa kifaransa ya kwamba Yasser Arafat Aliuawa kwa sumu aina ya Polonium 210. Wapelelezi Hawa wanadai ya kwamba, sample ya mkono iliyopatikana kwenye chupi ya Arafat ilionesha ya kwamba ilikuwa na kiwango kikubwa Cha Polonium 210. Ingawa ni nani hasa alimwekea sumu hiyo hakuna ajuaye. Wengine wanadai ni mke wake wa ndoa, wengine wanadai ni Israel na wengine wanadai ni mahasimu wake kutoka Palestina.
2. Nadharia ya Pili: kifo Cha kawaida.
Kwenye nadharia ya Pili ya kifo Cha Arafat, inasemekana Alikufa kwa maradhi ya kawaida ingawa inashtusha kidogo. Mwaka 2007, Daktari binafsi wa Yasser Arafat, ajulikanaye Kama Dr Ashraf Al Kurdi, alidai ya kwamba walipopima damu ya Arafat waligundua Ina virusi vya HIV. Ingawa Daktari huyo anadai pamoja na damu ya Arafat kuwa na HIV ila hakufa kwa maradhi ya UKIMWI Bali maradhi mengine kabisa. Majibu ya Dr Al Kurdi yameleta mabishano mengi Sana, ni Kwa vipi afe kwa ugonjwa mwingine kabisa usiohusiana na HIV? Na je ni kweli sample ya damu yake haikuchezewa kuleta majibu yanayoonesha alikuwa ameambukizwa HIV.
Mpaka Leo kifo Cha Yasser Arafat kimekuwa kigumu kujua kilisababishwa na Nini.
Mimi naumri wa babakoJidanganye dogo.
Kuna
jamaa alikuwa ana nunua mizizi/ unga wa alkasusi na dawa zingine za Kisunha weneyewe wanavyoziita toka kwa mzee mmoja kwenye soko huko ukanda wa Gaza! Wana wa Yuda! Wakaweka Vitu vyao kama vile kwenye Pagers na Radio call- So mzee akawa anajilia dose pole pole mpaka Umauti unamkuta
Mzee aliekuwa anamuuzia Alkasusi ndo huyu hapa....
View: https://youtu.be/vZxiS8jQm40 (kipo kitabu nilisoma kina hii story) Mzee alioa Binti mbiichi wa Kutoka kabila la Yuda pia So alikuwa anaenda na bits za Mrembo🥰pia hapa BBC 💉💉Yasser Arafat 'may have been poisoned with polonium' - BBC News
Kweli babako. Dogo unajitutumua ila unazidi kuonesha ni kilaza dogo wa miaka ya 2000s. Huwa kichwani mmejaza makamasi tu....😂Mimi naumri wa babako
Dini ni Michezo na Hao huwa wanakuwa ni puppetsCha ajabu bsada ya kuugua akaenda kutibiwa nchi za kikafir na kufia huko kwa nini hakwenda kutibiwa nchi za kiarabu