Yataka moyo kuwa mteja wa NMB

Yataka moyo kuwa mteja wa NMB

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,580
Reaction score
1,987
Mimi ni mteja wa Benki ya makabwela NMB kwa karibu miaka 15 sasa. Ila siku za hivi karibuni wamekuwa wakinikera sana. Ni miezi mitatu sasa nafuatilia kadi yangu iliyo expire.

Wiki ilopita walinitumia sms kuwa kadi iko tayari niifuate. Leo nimekwenda nikaambiwa nitie sign. Mara mhudumu akasema eti ile siyo signature yangu, nikamwambia ndiyo hiyo sina nyingine. Akagoma kabisa na kunitaka nikapange foleni kwenye desk jingine ili wanionyeshe signature yangu. Du, muda wenyewe hautoshi nimetoroka kazini.

Sina hamu tena, nikirudi siku nyingine naifunga hiyo account.

Bora hata nikajiunge na benki za Wakenya.
 
mkuu mm pia n mteja kadi yang iliexpire ikanichukua wiki mbili tu,huyo mhudumu ndo mwenye tatizo nakushauri uende tawi lingine utalipia elfu kumi na baada ya wiki mbili utapata kadi yako.
 
Kadi iliyo expire wiki mbili?? Wakati Mimi siku hiyo hiyo bank yangu wamenipa duuu???
 
Mimi ni mteja wa Benki ya makabwela NMB kwa karibu miaka 15 sasa. Ila siku za hivi karibuni wamekuwa wakinikera sana. Ni miezi mitatu sasa nafuatilia kadi yangu iliyo expire.

Wiki ilopita walinitumia sms kuwa kadi iko tayari niifuate. Leo nimekwenda nikaambiwa nitie sign. Mara mhudumu akasema eti ile siyo signature yangu, nikamwambia ndiyo hiyo sina nyingine. Akagoma kabisa na kunitaka nikapange foleni kwenye desk jingine ili wanionyeshe signature yangu. Du, muda wenyewe hautoshi nimetoroka kazini.

Sina hamu tena, nikirudi siku nyingine naifunga hiyo account.

Bora hata nikajiunge na benki za Wakenya.
Mkuu Waseme kwa lingine kuhusu hili la kadi kuepire sidhani kama ni sahihi ,siku hizi wanaandaa kadi kabla ,ukifika tu uanichukua nina uzoef wa watu wangu 5 na mimi mwenuewe ...PENDA NCHI YAKO !
 
Kuwa mteja wa NMB inahitaji moyo mgumu. Nina rafiki zangu waliopo huko wanapata shida kweli. Wakati mwingine wanakuta pesa zimepungua kwenye aaccount. Benki gani hadi sasa hawana visa wala mastercard?
 
Mimi ni mteja wa Benki ya makabwela NMB kwa karibu miaka 15 sasa. Ila siku za hivi karibuni wamekuwa wakinikera sana. Ni miezi mitatu sasa nafuatilia kadi yangu iliyo expire.

Wiki ilopita walinitumia sms kuwa kadi iko tayari niifuate. Leo nimekwenda nikaambiwa nitie sign. Mara mhudumu akasema eti ile siyo signature yangu, nikamwambia ndiyo hiyo sina nyingine. Akagoma kabisa na kunitaka nikapange foleni kwenye desk jingine ili wanionyeshe signature yangu. Du, muda wenyewe hautoshi nimetoroka kazini.

Sina hamu tena, nikirudi siku nyingine naifunga hiyo account.

Bora hata nikajiunge na benki za Wakenya.

Kuhusu kadi mkuu sio kweli siku hizi wana andaa mapema mno mfano mi mwenyewe kadi yangu iliisha mda januari this year na siku niliyo enda kubadilisha nilipata kadi siku hiyo hiyo tena ndani ya dk 15 tu.....sema tatizo la nmb ni wezi wa rejareja kupotea buku au buku mbili mpaka tano ni kawaida sana yani mi naitumia kupitishia mshahara tu na kuchukulia mikopo....only that....
 
Back
Top Bottom