Parabolic
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,580
- 1,987
Mimi ni mteja wa Benki ya makabwela NMB kwa karibu miaka 15 sasa. Ila siku za hivi karibuni wamekuwa wakinikera sana. Ni miezi mitatu sasa nafuatilia kadi yangu iliyo expire.
Wiki ilopita walinitumia sms kuwa kadi iko tayari niifuate. Leo nimekwenda nikaambiwa nitie sign. Mara mhudumu akasema eti ile siyo signature yangu, nikamwambia ndiyo hiyo sina nyingine. Akagoma kabisa na kunitaka nikapange foleni kwenye desk jingine ili wanionyeshe signature yangu. Du, muda wenyewe hautoshi nimetoroka kazini.
Sina hamu tena, nikirudi siku nyingine naifunga hiyo account.
Bora hata nikajiunge na benki za Wakenya.