Yatakayojiri huko Tunisia tarehe 09/11/22 baada ya Yanga kudhalilishwa na Mwarabu

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Kwangu naona Al Hilal walikuwa wachovu sana kwa Yanga, kuanzia home ground had away, Al Hilal kule kwao ndio hakuna cha maana walichokifanya, Yanga walikuwa na uwezo kabisa wa kupindua meza kule Sudan lkn wakashindwa.

Wakasema wanamalizia hasira kwa mtunisia, kilichotokea kila mtu kaona, ngoma ilikuwa suluhu.

CLUB Africain sio kama Al Hilal, na haifanani na Al Hilal, mtunisia hawez kutolewa nyumbani kwake tena na timu kama Yanga, Mark my words, Esperance walipigwa ugenini na Plateau ya Nigeria, wakaend kupewa penati dakika ya 80 na ngoma ikaishia hapo, Yanga watafungwa zaid ya bao 2 hiyo gemu na kama nadanganya tusubiri hiyo j5.

Hayo mambo ya kuwahi Tunisia mapema cjui kutuonyesha lodge waliyofikia Yanga ni upuuzi mtupu.

Sasa yatakayojiri huko baada ya gemu.

1. Waarabu wamebebwa kwao
2. Mpira wa africa ni mgumu sana
3. CAF wanazibeba timu za kiarabu
4. Nabi hana maajabu
5. Wachezaji wetu wazee
6. Refa katunyima penati mbili
7. Tujipange kwa ajili ya mwakani
8. Simba ndio hatimiliki ya michuano hii
9. Tuachane na ushindi wa tigopesa
10. Sisi tukimfunga Simba inatosha


Kudadadeki zenu.


Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
 
Hahahah
 
Waacheni wazururaji hao wapigwe arba then wajee kutengeneza unbeat za bahasha.
 
Hizi nguvu za kuisimanga yanga na hizi nyuzi kedekede nyie wanasimba mngezielekeza kuwasifia na kuwapa zaidi morali simba queens.

Huu upupu wa yanga yanga yanga kila mtu anaandika hivi hamchoki aisee.
 
Hizi nguvu za kuisimanga yanga na hizi nyuzi kedekede nyie wanasimba mngezielekeza kuwasifia na kuwapa zaidi morali simba queens.

Huu upupu wa yanga yanga yanga kila mtu anaandika hivi hamchoki aisee.
Hatuchoki hadi mdhalilishwe ndiyo tutachoka
 

Yanga yafungwe tu
Mmeshamaliza kujamba?
 
Vipi bado unasimamia msimamo wako??
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hizo goli mbili uliwasaidia club africain kusajili wafungaji?
 
zwazwa bin upopoma[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…