Yatakayojiri huko Tunisia tarehe 09/11/22 baada ya Yanga kudhalilishwa na Mwarabu

Kwangu naona Al Hilal walikuwa wachovu sana kwa Yanga, kuanzia home ground had away, Al Hilal kule kwao ndio hakuna cha maana walichokifanya, Yanga walikuwa na uwezo kabisa wa kupindua meza kule Sudan lkn wakashindwa.

Wakasema wanamalizia hasira kwa mtunisia, kilichotokea kila mtu kaona, ngoma ilikuwa suluhu.

CLUB Africain sio kama Al Hilal, na haifanani na Al Hilal, mtunisia hawez kutolewa nyumbani kwake tena na timu kama Yanga, Mark my words, Esperance walipigwa ugenini na Plateau ya Nigeria, wakaend kupewa penati dakika ya 80 na ngoma ikaishia hapo, Yanga watafungwa zaid ya bao 2 hiyo gemu na kama nadanganya tusubiri hiyo j5.

Hayo mambo ya kuwahi Tunisia mapema cjui kutuonyesha lodge waliyofikia Yanga ni upuuzi mtupu.

Sasa yatakayojiri huko baada ya gemu.

1.Waarabu wamebebwa kwao
2.Mpira wa africa ni mgumu sana
3.CAF wanazibeba timu za kiarabu
4.Nabi hana maajabu
5.Wachezaji wetu wazee
6.Refa katunyima penati mbili
7.Tujipange kwa ajili ya mwakani
8.Simba ndio hatimiliki ya michuano hii
9.Tuachane na ushindi wa tigopesa
10.Sisi tukimfunga Simba inatosha

Kudadadeki zenu.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Unajisikiaje kwa sasa! Pole kwa aibu iliyokukuta. Siku nyingine utajitahidi kuficha huu ujinga wako ulio uandika hapo juu.
 
Kwangu naona Al Hilal walikuwa wachovu sana kwa Yanga, kuanzia home ground had away, Al Hilal kule kwao ndio hakuna cha maana walichokifanya, Yanga walikuwa na uwezo kabisa wa kupindua meza kule Sudan lkn wakashindwa.

Wakasema wanamalizia hasira kwa mtunisia, kilichotokea kila mtu kaona, ngoma ilikuwa suluhu.

CLUB Africain sio kama Al Hilal, na haifanani na Al Hilal, mtunisia hawez kutolewa nyumbani kwake tena na timu kama Yanga, Mark my words, Esperance walipigwa ugenini na Plateau ya Nigeria, wakaend kupewa penati dakika ya 80 na ngoma ikaishia hapo, Yanga watafungwa zaid ya bao 2 hiyo gemu na kama nadanganya tusubiri hiyo j5.

Hayo mambo ya kuwahi Tunisia mapema cjui kutuonyesha lodge waliyofikia Yanga ni upuuzi mtupu.

Sasa yatakayojiri huko baada ya gemu.

1.Waarabu wamebebwa kwao
2.Mpira wa africa ni mgumu sana
3.CAF wanazibeba timu za kiarabu
4.Nabi hana maajabu
5.Wachezaji wetu wazee
6.Refa katunyima penati mbili
7.Tujipange kwa ajili ya mwakani
8.Simba ndio hatimiliki ya michuano hii
9.Tuachane na ushindi wa tigopesa
10.Sisi tukimfunga Simba inatosha

Kudadadeki zenu.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
UNA LA KUSEMA?
 
Baada ya wewe kuandika mashudu haya,vipi tupe tathmini yako sasa baada ya matokeo halisi,
 
Maelezo marefuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu ka mkojo wa asubuhi alafu pumba

Kima kabisa

Ujuaji ujuaji mwingi kumbe ndondo
 
Mm nililiona toka mapema kwa uchezaji wa wale waarabu na uchezaji wa Yanga ni kwamba wangefuzu tuu. Hizi mambo nyingine ni ushabiki tuu kukerana basi hahahaa
Hii wikiendi, nenda pale wavuvi kempu, agiza chupa mbili za jagermeister na ule msosi wa kutosha....halafu unitumie hiyo bili.
 
Kwangu naona Al Hilal walikuwa wachovu sana kwa Yanga, kuanzia home ground had away, Al Hilal kule kwao ndio hakuna cha maana walichokifanya, Yanga walikuwa na uwezo kabisa wa kupindua meza kule Sudan lkn wakashindwa.

Wakasema wanamalizia hasira kwa mtunisia, kilichotokea kila mtu kaona, ngoma ilikuwa suluhu.

CLUB Africain sio kama Al Hilal, na haifanani na Al Hilal, mtunisia hawez kutolewa nyumbani kwake tena na timu kama Yanga, Mark my words, Esperance walipigwa ugenini na Plateau ya Nigeria, wakaend kupewa penati dakika ya 80 na ngoma ikaishia hapo, Yanga watafungwa zaid ya bao 2 hiyo gemu na kama nadanganya tusubiri hiyo j5.

Hayo mambo ya kuwahi Tunisia mapema cjui kutuonyesha lodge waliyofikia Yanga ni upuuzi mtupu.

Sasa yatakayojiri huko baada ya gemu.

1.Waarabu wamebebwa kwao
2.Mpira wa africa ni mgumu sana
3.CAF wanazibeba timu za kiarabu
4.Nabi hana maajabu
5.Wachezaji wetu wazee
6.Refa katunyima penati mbili
7.Tujipange kwa ajili ya mwakani
8.Simba ndio hatimiliki ya michuano hii
9.Tuachane na ushindi wa tigopesa
10.Sisi tukimfunga Simba inatosha

Kudadadeki zenu.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Kweli Aiseeee !!
 
Mnatumia nguvu kubwa kuongea mwisho wa siku mnakaa pumzi inakata mbwa nyie machokolo kiko wapiii
Aibu kubwa sana watu kujifanya wajuaji wapiga ramri wachambuzi uchwara takataka za mpira wa karatasi hizi

Mbele giza hakuna muonacho
 
Back
Top Bottom