Yatakayojiri huko Tunisia tarehe 09/11/22 baada ya Yanga kudhalilishwa na Mwarabu

Kwangu naona Al Hilal walikuwa wachovu sana kwa Yanga, kuanzia home ground had away, Al Hilal kule kwao ndio hakuna cha maana walichokifanya, Yanga walikuwa na uwezo kabisa wa kupindua meza kule Sudan lkn wakashindwa.

Wakasema wanamalizia hasira kwa mtunisia, kilichotokea kila mtu kaona, ngoma ilikuwa suluhu.

CLUB Africain sio kama Al Hilal, na haifanani na Al Hilal, mtunisia hawez kutolewa nyumbani kwake tena na timu kama Yanga, Mark my words, Esperance walipigwa ugenini na Plateau ya Nigeria, wakaend kupewa penati dakika ya 80 na ngoma ikaishia hapo, Yanga watafungwa zaid ya bao 2 hiyo gemu na kama nadanganya tusubiri hiyo j5.

Hayo mambo ya kuwahi Tunisia mapema cjui kutuonyesha lodge waliyofikia Yanga ni upuuzi mtupu.

Sasa yatakayojiri huko baada ya gemu.

1.Waarabu wamebebwa kwao
2.Mpira wa africa ni mgumu sana
3.CAF wanazibeba timu za kiarabu
4.Nabi hana maajabu
5.Wachezaji wetu wazee
6.Refa katunyima penati mbili
7.Tujipange kwa ajili ya mwakani
8.Simba ndio hatimiliki ya michuano hii
9.Tuachane na ushindi wa tigopesa
10.Sisi tukimfunga Simba inatosha

Kudadadeki zenu.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Ikaja kuwaje boss wangu siku hiyo ukajificha.
 
Niambie MKUU
 
Mm nililiona toka mapema kwa uchezaji wa wale waarabu na uchezaji wa Yanga ni kwamba wangefuzu tuu. Hizi mambo nyingine ni ushabiki tuu kukerana basi hahahaa
Umefanya kosa kubwa sana kushabikia timu ya mbumbumbu fc. Ungekuwa mwananchi, muda huu ungekuwa unaogelea tu kwenye dimbwi la furaha.

Ona sasa huko uliko! Muda wote mnasubiria tu timu ifungwe, ili muanze kuwalaumu wachezaji na makocha wenu. Sisi wenzenu huku mpaka tumechoka sasa kuitwa unbeaten kwenye ligi.
 
Uwiiii hiyo furaha ya baada ya miaka mingapi? Hebu acha kujitoa ufahamu bana Simba inayotupa furaha kwa miaka 4 mfululizo ndo niiache kwa furaha za msimu? Ss hatuna habari na hz unbeaten zetu za kubebwa.
 
Haya bana, kila mtu na chake. Baki hapo hapo. Huku tumejaa.
 
Back
Top Bottom