Tashacobbs
JF-Expert Member
- Jun 18, 2022
- 572
- 1,559
Unajisikiaje kwa sasa! Pole kwa aibu iliyokukuta. Siku nyingine utajitahidi kuficha huu ujinga wako ulio uandika hapo juu.Kwangu naona Al Hilal walikuwa wachovu sana kwa Yanga, kuanzia home ground had away, Al Hilal kule kwao ndio hakuna cha maana walichokifanya, Yanga walikuwa na uwezo kabisa wa kupindua meza kule Sudan lkn wakashindwa.
Wakasema wanamalizia hasira kwa mtunisia, kilichotokea kila mtu kaona, ngoma ilikuwa suluhu.
CLUB Africain sio kama Al Hilal, na haifanani na Al Hilal, mtunisia hawez kutolewa nyumbani kwake tena na timu kama Yanga, Mark my words, Esperance walipigwa ugenini na Plateau ya Nigeria, wakaend kupewa penati dakika ya 80 na ngoma ikaishia hapo, Yanga watafungwa zaid ya bao 2 hiyo gemu na kama nadanganya tusubiri hiyo j5.
Hayo mambo ya kuwahi Tunisia mapema cjui kutuonyesha lodge waliyofikia Yanga ni upuuzi mtupu.
Sasa yatakayojiri huko baada ya gemu.
1.Waarabu wamebebwa kwao
2.Mpira wa africa ni mgumu sana
3.CAF wanazibeba timu za kiarabu
4.Nabi hana maajabu
5.Wachezaji wetu wazee
6.Refa katunyima penati mbili
7.Tujipange kwa ajili ya mwakani
8.Simba ndio hatimiliki ya michuano hii
9.Tuachane na ushindi wa tigopesa
10.Sisi tukimfunga Simba inatosha
Kudadadeki zenu.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Aibu tupu imekujaa!Hatuchoki hadi mdhalilishwe ndiyo tutachoka
UNA LA KUSEMA?Kwangu naona Al Hilal walikuwa wachovu sana kwa Yanga, kuanzia home ground had away, Al Hilal kule kwao ndio hakuna cha maana walichokifanya, Yanga walikuwa na uwezo kabisa wa kupindua meza kule Sudan lkn wakashindwa.
Wakasema wanamalizia hasira kwa mtunisia, kilichotokea kila mtu kaona, ngoma ilikuwa suluhu.
CLUB Africain sio kama Al Hilal, na haifanani na Al Hilal, mtunisia hawez kutolewa nyumbani kwake tena na timu kama Yanga, Mark my words, Esperance walipigwa ugenini na Plateau ya Nigeria, wakaend kupewa penati dakika ya 80 na ngoma ikaishia hapo, Yanga watafungwa zaid ya bao 2 hiyo gemu na kama nadanganya tusubiri hiyo j5.
Hayo mambo ya kuwahi Tunisia mapema cjui kutuonyesha lodge waliyofikia Yanga ni upuuzi mtupu.
Sasa yatakayojiri huko baada ya gemu.
1.Waarabu wamebebwa kwao
2.Mpira wa africa ni mgumu sana
3.CAF wanazibeba timu za kiarabu
4.Nabi hana maajabu
5.Wachezaji wetu wazee
6.Refa katunyima penati mbili
7.Tujipange kwa ajili ya mwakani
8.Simba ndio hatimiliki ya michuano hii
9.Tuachane na ushindi wa tigopesa
10.Sisi tukimfunga Simba inatosha
Kudadadeki zenu.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
HahaaaaNashabikia Africain Toka 1999
Nitabirie maisha yangu na miaka 10 ijayo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila eti mimi naona Mihogo kama watafanikiwa leo vilee.... au niachane tuu na utabiri wadau?
Mtihani mzitoo huuu hahahahaNitabirie maisha yangu na miaka 10 ijayo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeshtuka Sana niliposoma komenti yako.. hhahahahahMtihani mzitoo huuu hahahaha
Mm nililiona toka mapema kwa uchezaji wa wale waarabu na uchezaji wa Yanga ni kwamba wangefuzu tuu. Hizi mambo nyingine ni ushabiki tuu kukerana basi hahahaaNimeshtuka Sana niliposoma komenti yako.. hhahahahah
Baada ya wewe kuandika mashudu haya,vipi tupe tathmini yako sasa baada ya matokeo halisi,Kwangu naona Al Hilal walikuwa wachovu sana kwa Yanga, kuanzia home ground had away, Al Hilal kule kwao ndio hakuna cha maana walichokifanya, Yanga walikuwa na uwezo kabisa wa kupindua meza kule Sudan lkn wakashindwa.
Wakasema wanamalizia hasira kwa mtunisia, kilichotokea kila mtu kaona, ngoma ilikuwa suluhu.
CLUB Africain sio kama Al Hilal, na haifanani na Al Hilal, mtunisia hawez kutolewa nyumbani kwake tena na timu kama Yanga, Mark my words, Esperance walipigwa ugenini na Plateau ya Nigeria, wakaend kupewa penati dakika ya 80 na ngoma ikaishia hapo, Yanga watafungwa zaid ya bao 2 hiyo gemu na kama nadanganya tusubiri hiyo j5.
Hayo mambo ya kuwahi Tunisia mapema cjui kutuonyesha lodge waliyofikia Yanga ni upuuzi mtupu.
Sasa yatakayojiri huko baada ya gemu.
1.Waarabu wamebebwa kwao
2.Mpira wa africa ni mgumu sana
3.CAF wanazibeba timu za kiarabu
4.Nabi hana maajabu
5.Wachezaji wetu wazee
6.Refa katunyima penati mbili
7.Tujipange kwa ajili ya mwakani
8.Simba ndio hatimiliki ya michuano hii
9.Tuachane na ushindi wa tigopesa
10.Sisi tukimfunga Simba inatosha
Kudadadeki zenu.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Maelezo marefuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu ka mkojo wa asubuhi alafu pumbaKwangu naona Al Hilal walikuwa wachovu sana kwa Yanga, kuanzia home ground had away, Al Hilal kule kwao ndio hakuna cha maana walichokifanya, Yanga walikuwa na uwezo kabisa wa kupindua meza kule Sudan lkn wakashindwa.
Wakasema wanamalizia hasira kwa mtunisia, kilichotokea kila mtu kaona, ngoma ilikuwa suluhu.
CLUB Africain sio kama Al Hilal, na haifanani na Al Hilal, mtunisia hawez kutolewa nyumbani kwake tena na timu kama Yanga, Mark my words, Esperance walipigwa ugenini na Plateau ya Nigeria, wakaend kupewa penati dakika ya 80 na ngoma ikaishia hapo, Yanga watafungwa zaid ya bao 2 hiyo gemu na kama nadanganya tusubiri hiyo j5.
Hayo mambo ya kuwahi Tunisia mapema cjui kutuonyesha lodge waliyofikia Yanga ni upuuzi mtupu.
Sasa yatakayojiri huko baada ya gemu.
1.Waarabu wamebebwa kwao
2.Mpira wa africa ni mgumu sana
3.CAF wanazibeba timu za kiarabu
4.Nabi hana maajabu
5.Wachezaji wetu wazee
6.Refa katunyima penati mbili
7.Tujipange kwa ajili ya mwakani
8.Simba ndio hatimiliki ya michuano hii
9.Tuachane na ushindi wa tigopesa
10.Sisi tukimfunga Simba inatosha
Kudadadeki zenu.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Tayari aibu imekurudia sasa,Hatuchoki hadi mdhalilishwe ndiyo tutachoka
Badala yake mkamanuliwa nyie!Tunasuburia kwa hamu mtakavyomanuliwa na mwarabu leo
Wewe unajua kuweka akiba ya maneno.Ila eti mimi naona Mihogo kama watafanikiwa leo vilee.... au niachane tuu na utabiri wadau?
Hii wikiendi, nenda pale wavuvi kempu, agiza chupa mbili za jagermeister na ule msosi wa kutosha....halafu unitumie hiyo bili.Mm nililiona toka mapema kwa uchezaji wa wale waarabu na uchezaji wa Yanga ni kwamba wangefuzu tuu. Hizi mambo nyingine ni ushabiki tuu kukerana basi hahahaa
Tunaenda🏃Mtoa mada hapo vipi
Eapoti tunaenda hatuendi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli Aiseeee !!Kwangu naona Al Hilal walikuwa wachovu sana kwa Yanga, kuanzia home ground had away, Al Hilal kule kwao ndio hakuna cha maana walichokifanya, Yanga walikuwa na uwezo kabisa wa kupindua meza kule Sudan lkn wakashindwa.
Wakasema wanamalizia hasira kwa mtunisia, kilichotokea kila mtu kaona, ngoma ilikuwa suluhu.
CLUB Africain sio kama Al Hilal, na haifanani na Al Hilal, mtunisia hawez kutolewa nyumbani kwake tena na timu kama Yanga, Mark my words, Esperance walipigwa ugenini na Plateau ya Nigeria, wakaend kupewa penati dakika ya 80 na ngoma ikaishia hapo, Yanga watafungwa zaid ya bao 2 hiyo gemu na kama nadanganya tusubiri hiyo j5.
Hayo mambo ya kuwahi Tunisia mapema cjui kutuonyesha lodge waliyofikia Yanga ni upuuzi mtupu.
Sasa yatakayojiri huko baada ya gemu.
1.Waarabu wamebebwa kwao
2.Mpira wa africa ni mgumu sana
3.CAF wanazibeba timu za kiarabu
4.Nabi hana maajabu
5.Wachezaji wetu wazee
6.Refa katunyima penati mbili
7.Tujipange kwa ajili ya mwakani
8.Simba ndio hatimiliki ya michuano hii
9.Tuachane na ushindi wa tigopesa
10.Sisi tukimfunga Simba inatosha
Kudadadeki zenu.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Ndo wapi? Mimi nipo Bombay hukuHii wikiendi, nenda pale wavuvi kempu, agiza chupa mbili za jagermeister na ule msosi wa kutosha....halafu unitumie hiyo bili.