Yatakayojiri huko Tunisia tarehe 09/11/22 baada ya Yanga kudhalilishwa na Mwarabu

Ikaja kuwaje boss wangu siku hiyo ukajificha.
 
Niambie MKUU
 
Mm nililiona toka mapema kwa uchezaji wa wale waarabu na uchezaji wa Yanga ni kwamba wangefuzu tuu. Hizi mambo nyingine ni ushabiki tuu kukerana basi hahahaa
Umefanya kosa kubwa sana kushabikia timu ya mbumbumbu fc. Ungekuwa mwananchi, muda huu ungekuwa unaogelea tu kwenye dimbwi la furaha.

Ona sasa huko uliko! Muda wote mnasubiria tu timu ifungwe, ili muanze kuwalaumu wachezaji na makocha wenu. Sisi wenzenu huku mpaka tumechoka sasa kuitwa unbeaten kwenye ligi.
 
Uwiiii hiyo furaha ya baada ya miaka mingapi? Hebu acha kujitoa ufahamu bana Simba inayotupa furaha kwa miaka 4 mfululizo ndo niiache kwa furaha za msimu? Ss hatuna habari na hz unbeaten zetu za kubebwa.
 
Haya bana, kila mtu na chake. Baki hapo hapo. Huku tumejaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…