Yatokanayo na usafiri wa bodaboda

Pozi za wakina dada wakipanda Boxer au Tvs ni tafrani tupu. Huwa wanajibinua na kutengeneza angle yenye nyuzi 30 huku kifua kikiwa katika mgongo wa dereva.
 
Madereva wa bodaboda wakiona mwanamke mwenye makalio makubwa wanageuka na kuwasikia umeona mzigo ule[emoji15].



Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Kuna boda boda wanawake posta kibao posta siku hizi!
Wanaendesha vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…