Tuache watekeleze ilan ya chama[emoji3][emoji3][emoji3]
True mkuu,tulikosea haswa tena HASWA!
Na kuitoa hii ideology ni ngumu sana kwa sasa.
Tuache watekeleze ilan ya chama[emoji3][emoji3][emoji3]
Hii kama imerudiwa mahali fulani hivi!Sikia maono hayo [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1138652
Siyo 2 tu,, Wakenya wabaya sana hawana huduma na sisi, tunapigwa 4!Game la kenya tunafungwa tena mbili
I wish ingekuwa Boeing 737 MAX8 just saying..🙆♀️ uwiiiii ! Yule wa Malaysia alisema Gudnite Air Malaysia![emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]kila vitabu na zama zake.... View attachment 1138655
Mshana na mie nakupaka mafuta ya Simba nawe nenda ili iwe Kenya 0/Tanzania 3 na utakaporudi nyumbani ntakupatia bonge la suprise ili waliokusema wasikie soniAah.. Ngoja nikapige soga na wafu wangu mie... Wanadamu wamelala muda huu... Mochwari bila soga na hawa watu huwa kupweke sanaView attachment 1138670
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mshana na mie nakupaka mafuta ya Simba nawe nenda ili iwe Kenya 0/Tanzania 3 na utakaporudi nyumbani ntakupatia bonge la suprise ili waliokusema wasikie soni
Naona kuna mbunge kavaa kofia kubwa kule nyuma kakataa kabisa Emmanuel Amunike ni dalaliWasikie wanasiasa
View attachment 1138653
Maisha jamani[emoji21][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]kila vitabu na zama zake.... View attachment 1138655
Kupigwa 2-0, 3-0 na 5-0 ndiyo ilani ya maccm pale lumumba chini ya Mwenyekiti wao Mwendawazimu na fikra zake POTOFU.
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Swala la kuzingatia.
1.Mashimo apelekwe Misri haraka kuitabiria timu.
2. Wachezaji wanunuliwe misosi ya uhakika na wasimamiwe wakati wa kuila hadi waimalize.
Noted!Inapofikia hata wakuu wa mihimili mingine kumgwaya mtu mmoja... Basi tambua nguvu ya mafuta ya Simba kwenye muktadha huo.... Sijazungumzia nguvu na ubabe wa Simba mbele ya yanga....